Hawa ndio wanamageuzi kuelekea Uchumi wa Kati

Katika viongozi bora ambao Mh. Raisi aliteua basi makonda ni mmoja wapo, impact yake ni kubwa sana ameokoa vijana wengi sana, familia nyingi zilishudia vijana wao wadogo wakiteketea kwa madawa lakini kwa sasa hali ni shwari. Bila kumsahau Prime minister Mh. Majaliwa kwa kufungia viroba, aisee vile vilikuwa ni hatari sana kwa nguvu kazi ya Taifa. Kwa sasa hali ni shwari mtaani hata uhalifu umepungua sana.
 
VIONGOZI MASHUJAA WENYE DAMU YA MAGEUZI KUELEKEA UCHUMI WA KATI

Ndugu watanzania

Ni imani yangu kuwa wengi mnafuatilia siasa yetu inavyoendelea kabla ya uchaguzi wa 2020 hivo ata nyie mnaona bila kuweka unafiki wowote au itikadi zetu.

Hii list nimeindaaa kwa kuwapima hawa watu kwenye vigezo mbalimbali kama;

1. Uadilifu
2. Uwajibikaji na ukweli (Responsibility and Transparency)
3. Ujasiri wa kiongozi
4. Hekima,busara na maarifa za kiongozi

1. RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

Huyu ni rais wa Jamhuri wa muungano kwa sasa. Huyu ni shujaa kweli kweli anaeweza kumsema mtu yeyote bila kujali umaarufu wake kisiasa au Mali alizonazo, huyu ndiye aliyeanzisha vita dhidi ya mafisadi na mabwenyenye waliozoea kuishi kwenye nchi bila kulipa kodi.

Ameenda mbali na kuanzisha mahakama yao hawa watu waliozoea kuishi kimagendo na kiharamu huku wanyonge wakiteseka sana hapa Tanzania wengi wako mahabusu na wengine wametoka kwa mujibu wa Sheria.

Huyu namfananisha na MAO THE DON aliyekua rais wa China enzi hizo. Huyu ndiye shujaa aliyehamisha makao makuu kwenda Dodoma jambo ambalo limesubiriwa kwa hamu enzi na enzi.

Hakika unastaili pongezi ukiendelea hivi hivi mwisho nakutakia uendelee na ushujaa wako katika harakati za kukomboa Watanzania.

Amejenga miradi mikubwa kila Kona ya Nchi,wafugaji wanamkubali sana kutokana na kuwaondolea kero zilizodumu karne na karne katika maeneo yao, vituo vya afya kila kata.

Ameongeza mikopo ya vyuo vikuu. Amesababishwa kusainiwa makubaliano ya kihistoria kati ya kampuni ya madini ya Barrick na serikali.

Ndiye rais aliyewahi kutoa msamaha mkubwa zaidi kwa wafungwa. Huu ni moyo wa huruma sana lakini haiondoi ukweli kwamba ukijichanganya kufanya uhalifu utapata haki yako stahiki.

Chapa kazi baba Tanzania bado inakusubiri.

2. KASSIM MAJALIWA

Huyu naye ni mpambanaji na shujaa wa kweli kwa sasa Tanzania,Tena amesikika kwenye media na viunga mbalimbali Tanzania akipinga hadharani ufisadi na uhuni dhidi ya watanzania.

Majaliwa ameweza kwa asilimia Kubwa kuenda na kasi ya Jemedari Magufuli kwa kuinyoosha serikali vilivyo,

Huyu akipita mkoa wowote hakuna uchafu utasalimika hata uwe umejificha vipi.

Amezinyoosha Halmashauri zote zilizokuwa na ubabaishaji.

Nakutakia mapambano mema kwa kuwa bado vita ipo mbele yetu.

3. ANTONY MTAKA

Huyu siasa zake siyo ya kupiga kelele hadharani wala hana media politics lakini madhara yake pengine ni kubwa mno kwa watu wenye njama ya kuharibu uchumi.

Anajielekeza zaidi katika Ubunifu na ukaribu na jamii pia mara zote amekuwa akisifiwa hata na wapinzani.

Siku zote waga mtulivu na mstaarabu mno ndo maana wengi wanashindwa kuelewa aina ya siasa yake lakini hawajui ukimya wake una impacts kubwa mno katika uwanja wa upambanaji dhidi ya mabeberu wanaotaka kwenda ikulu kwa nguvu zote.

4. PAUL MAKONDA

Huyu jamaa watanzania wanapaswa kumshurukuru sana tena sana baada ya kuanzisha mapambano na vita dhidi ya madawa ya kulevya tatizo lilokuwa sugu sana hapa nchini na kuharibu nguvu kazi ya taifa. Makonda alijitoa kafara bila kujali maisha yake wala familia yake.

Makonda hakujali aina ya watu ambao anapambana nao hakika Makonda ulivaa viatu vya Ujemedari katika harakati za kutetea watanzania.

Makonda ni jasiri kiasi ata baadhi ya wanachama wa CCM wanamshangaa na kumpinga kwenye physical battle ambazo huwa anazianzisha.

5. JOKATE MWEGELO

Kiukweli haikutarajiwa Hiki anachokifanya kwa sasa,mwanzo alibezwa sana lakini ndie kinara wa Ukombozi wa elimu amekuwa mbunifu sana Kwenye elimu kiasi kwamba anawazidi hata mabosi wengi wa idara ya elimu,ameleta mbinu mpya ya kujikomboa kielimu hasa katika ujenzi wa miradi ya elimu bila fedha za serikali pongezi Sana Jokate.

Pia ametudhihirishia kuwa mwanamke Pekee ambae ameleta Ukombozi wa Wanawake kwa kuzitoa fikra potofu kuwa Wanawake wakiwa madarakani huyumbishwa kimisimamo.

Leo hii Jokate anapambanishwa na miamba ya kisiasa hapa nchini. Kaza mwendo Tanzania bado inakuhitaji maana vita inaendelea.

6. LENGAI OLE SABAYA

Huyu naye amung'unyi maneno kwenye mambo yenye maslahi katika taifa hili mtamkumbuka kwenye nyakati tofauti na matukio tofauti anavyoweza kusimama imara na kunguruma kama simba bila kupotosha umma ata kidogo, huyu anadhubutu na haogopi kuamua.

Nyeupe ataiita nyeupe,na akilitaka jambo lake litafika mwisho.

Amehudumu kwenye ofisi za UVCCM mnakumbuka sakata la Mali za CCM yeye ndie alikua vuguvugu Hadi kupelekea kubambikiwa kesi ile ya Usalama feki. Kwa Sasa anahudumu ofisi za umma Kama DC Wa Hai kwa uadilifu na ueledi wa hali ya juu.

Huyu naye ameshiriki vilivyo katika mapambano ya Kurejesha Ardhi za watu Huko Kaskazini ambako lilikuwa tatizo sugu sana.

Ndie muasisi wa vita ya Fedha Bandia Hadi kupelekea ukamatwaji Wa noti Bandia zenye thamani ya zaidi ya milioni 500 na tayari Gavana wa benki kuu kampongeza kwa kazi hiyo ya kulinda Uchumi wa Nchi.

Bila kusahau ndie muhasisi wa ukamataji wa Viwanda vya utengenezaji wa Pombe Haramu zenye stika feki za TRA Jambo lilikuwa linapelekea Taifa kukosa mapato yake.

Alisimama na kukemea hadharani kila aina ya hujuma za watu wanaotumiwa na mabeberu.

Ole Sabaya amekuwa ni mtu wa kujichanganya sana mtaani jambo linalomsaidia kupata taarifa sahihi na kuzipima kisha kuzifanyia kazi on time.

Ndio maana Ole Sabaya Amedhibiti siasa za kihuni Na haogopi,akijichanganya lema Au Mbowe anawafyatua.

Lakini Amewatapisha watu waliopiga mamilioni ya pesa za saccos na kuiba maeneo ya umma na ya Taasisi hata suala la Tasaf lilianzia kwake.

Huyu upambanaji wake siku zote ni mikakati mizito ya kusambaratisha mtandao au genge la wanasiasa na wasaliti. hatutakusahau tunakutakia mapambano mema maana vita bado inaendelea.

7. SULEIMAN JAFO
Kasi ya jafo kisiasa inapanda kwa kasi sana Ni kijana fulan hivi mwenye Nidhamu katika uongozi.

Hii njia ilimfanya Rais msaafu kikwete kupanda sana hadi kuwa kiongozi wa nchi kwa kuwa alikuwa anafanya kwa unyenyekevu kwa kila kazi anayopangiwa na mkubwa ukiangalia jafo wakati wa kikwete hakuwahi kuwa kiongozi ila alivyoingia magufuli akapata nafasi ameonyesha uwezo mkubwa ndani ya muda mfupi sio siri Ni kijana mchapakazi namtabiria makubwa asipobadilika
Ameimudu Sana Tamisemi kuliko waziri yeyote aliepita.

Jaffo Kasimamia uchaguzi wa serikali za mitaa Bila kuyumbishwa na upepo wa kisiasa na Bila kujali itikadi za kisiasa,Jafo amekuwa ni mtu ambae atulii kabisa ofisini kwa maana haamini kabisa taarifa za kuletewa,Hakika Anastahili.

8. ALEXANDER MNYETI
Kelele nyingi ziliwahi kupigwa juu yake lakini kwa kuwa Rais Magufuli sio mtu wa kusikiliza kelele alimpa U-RC. Huyu Ni Mtu wa kuamua na lazima lifanyike.

Wapinzani hawatamsahau kule Arumeru maana yeye ndio chachu ya Kuwafungua Akili wapinzani wengi wakaanza kuuona utendaji kazi Bora wa Rais Magufuli.

Mnyeti bila kupepesa macho amedhibiti migogoro ya muda mrefu pale mererani hata juzijuzi Kuna mtu aliletea chokochoko lakini Mnyeti alimnyoosha Sana.

Mzee wa Gwambina waliojaribu kumhusisha na Ufisadi aliwajibu vyema kuhusu mradi wake wa kukuza vipaji nchini hongera Sana.

Amesimamia ujenzi wa ukuta wa kihistoria wa mererani, Jamaa Yuko very bright. Pongezi kwako endelea maana Vita Bado mbichi.

9. HUSEIN BASHE

Amekuwa Ni kijana Asiejua kummunya Maneno. Amekuwa akielezea kitu kizalendo Bila kujali kuwachukiza mabosi wake ama rafiki zake.

Ni kijana mwenye nidhamu sana tangu akiwa UVCCM enzi za kuitwa sio raia, kunywima Ubunge kwa sababu za kitoto. Amekuwa kijana mwenye mikakati imara tangu kipindi anamsaidia Mzee Lowasa wakati wa kuwania kuteuliwa ndani ya CCM lakini kwa msimamo dhabiti hakutoka ndani ya CCM kisa Lowasa katoka Kama wale wengine wanaoyumbayumba Sasa, hakika anastahili.

Hongera Bashe ,Kazi Bado inaendelea pigana.

10. BASHIRU ALLY KAKURWA
Huyu Ni mwiba mzito sana Ambae anakuua huku akikuangalia usoni,Amekuwa na utaratibu wa kuwatibu watu hadharani kitu kinachopingwa na baadhi ya wanasiasa lakini imesaidia sana kuwabadili baadhi ya Watu,

Bashiru Ni mtaalamu wa kupangu hoja za wapinzani na hii imeanza kuwasumbua wapinzani kwa kiasi kikubwa,

Ni mtu mwenye misimamo migumu hasa pale yanapokuja maslai wa taifa zima Bila kujali itikadi ya chama chake.

Rai yangu kwa watanzania tuwatumie hawa MASHUJAA wetu kwenye njia sahihi katika mapambano dhidi ya mafisadi na watu waliokuwa wamezoea kwa njia haramu kwenye hii nchi tuachane na ile genge la wanafiki na wasaliti waliotaka kuiuza Tanzania kwa bei ambayo haijaeleweka hadi Leo.

Tuwapuuze kama tulivofanya 2015 kwa kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati katika kutuletea maendeleo.

Safari ya kwenda uchumi wa kati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu,
MM

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona sijaona jina lako?
 
Mtoa mada hata hajui mchakato Wa kuingia uchumi Wa kati
Mabeberu wamnasema iuchumi unakua kwa 5% serikali inabisha kuwa unakua kwa 7% .Tangu Uhuru hii ndyo serikali yakwanza kibishana kwa takwimu nabenli yadumia
Praise team mnajifariji kuwa mtaenda uchumi Wa kati
Mungu in mwema mnaosifu na tusiosifu tuko jahazi moja, tukizama ni wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Huweziingia uchumi wa kati pasipo mapinduzi ya kilimo,pasipo maendeleo ya watu,pasipo utawala wa sheria ,pasipo uwazi na ukweli kwenye uendeshaji wa serikali,kwa kuuwa sekta binafsi,diplomasia ya kimataifa,kuzuia utekaji,kuuwa demokrasia.
 
Yaani kwa akili hizi ungekuwa mbuzi ukachinjwa hata mbwa wangu nisingeruhusu asogelee nyama yako, bora umezaliwa karne hii maana ungekuwapo enzi za mkoloni mpaka sasa tungekuwa utumwani, cjui vijana tunakwama wapi, kusifu ujinga na kujaribu kunasibisha Taifa letu na baadhi ya majitu ya hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VIONGOZI MASHUJAA WENYE DAMU YA MAGEUZI KUELEKEA UCHUMI WA KATI

Ndugu watanzania

Ni imani yangu kuwa wengi mnafuatilia siasa yetu inavyoendelea kabla ya uchaguzi wa 2020 hivo ata nyie mnaona bila kuweka unafiki wowote au itikadi zetu.

Hii list nimeindaaa kwa kuwapima hawa watu kwenye vigezo mbalimbali kama;

1. Uadilifu
2. Uwajibikaji na ukweli (Responsibility and Transparency)
3. Ujasiri wa kiongozi
4. Hekima,busara na maarifa za kiongozi

1. RAIS JOHN POMBE MAGUFULI

Huyu ni rais wa Jamhuri wa muungano kwa sasa. Huyu ni shujaa kweli kweli anaeweza kumsema mtu yeyote bila kujali umaarufu wake kisiasa au Mali alizonazo, huyu ndiye aliyeanzisha vita dhidi ya mafisadi na mabwenyenye waliozoea kuishi kwenye nchi bila kulipa kodi.

Ameenda mbali na kuanzisha mahakama yao hawa watu waliozoea kuishi kimagendo na kiharamu huku wanyonge wakiteseka sana hapa Tanzania wengi wako mahabusu na wengine wametoka kwa mujibu wa Sheria.

Huyu namfananisha na MAO THE DON aliyekua rais wa China enzi hizo. Huyu ndiye shujaa aliyehamisha makao makuu kwenda Dodoma jambo ambalo limesubiriwa kwa hamu enzi na enzi.

Hakika unastaili pongezi ukiendelea hivi hivi mwisho nakutakia uendelee na ushujaa wako katika harakati za kukomboa Watanzania.

Amejenga miradi mikubwa kila Kona ya Nchi,wafugaji wanamkubali sana kutokana na kuwaondolea kero zilizodumu karne na karne katika maeneo yao, vituo vya afya kila kata.

Ameongeza mikopo ya vyuo vikuu. Amesababishwa kusainiwa makubaliano ya kihistoria kati ya kampuni ya madini ya Barrick na serikali.

Ndiye rais aliyewahi kutoa msamaha mkubwa zaidi kwa wafungwa. Huu ni moyo wa huruma sana lakini haiondoi ukweli kwamba ukijichanganya kufanya uhalifu utapata haki yako stahiki.

Chapa kazi baba Tanzania bado inakusubiri.

2. KASSIM MAJALIWA

Huyu naye ni mpambanaji na shujaa wa kweli kwa sasa Tanzania,Tena amesikika kwenye media na viunga mbalimbali Tanzania akipinga hadharani ufisadi na uhuni dhidi ya watanzania.

Majaliwa ameweza kwa asilimia Kubwa kuenda na kasi ya Jemedari Magufuli kwa kuinyoosha serikali vilivyo,

Huyu akipita mkoa wowote hakuna uchafu utasalimika hata uwe umejificha vipi.

Amezinyoosha Halmashauri zote zilizokuwa na ubabaishaji.

Nakutakia mapambano mema kwa kuwa bado vita ipo mbele yetu.

3. ANTONY MTAKA

Huyu siasa zake siyo ya kupiga kelele hadharani wala hana media politics lakini madhara yake pengine ni kubwa mno kwa watu wenye njama ya kuharibu uchumi.

Anajielekeza zaidi katika Ubunifu na ukaribu na jamii pia mara zote amekuwa akisifiwa hata na wapinzani.

Siku zote waga mtulivu na mstaarabu mno ndo maana wengi wanashindwa kuelewa aina ya siasa yake lakini hawajui ukimya wake una impacts kubwa mno katika uwanja wa upambanaji dhidi ya mabeberu wanaotaka kwenda ikulu kwa nguvu zote.

4. PAUL MAKONDA

Huyu jamaa watanzania wanapaswa kumshurukuru sana tena sana baada ya kuanzisha mapambano na vita dhidi ya madawa ya kulevya tatizo lilokuwa sugu sana hapa nchini na kuharibu nguvu kazi ya taifa. Makonda alijitoa kafara bila kujali maisha yake wala familia yake.

Makonda hakujali aina ya watu ambao anapambana nao hakika Makonda ulivaa viatu vya Ujemedari katika harakati za kutetea watanzania.

Makonda ni jasiri kiasi ata baadhi ya wanachama wa CCM wanamshangaa na kumpinga kwenye physical battle ambazo huwa anazianzisha.

5. JOKATE MWEGELO

Kiukweli haikutarajiwa Hiki anachokifanya kwa sasa,mwanzo alibezwa sana lakini ndie kinara wa Ukombozi wa elimu amekuwa mbunifu sana Kwenye elimu kiasi kwamba anawazidi hata mabosi wengi wa idara ya elimu,ameleta mbinu mpya ya kujikomboa kielimu hasa katika ujenzi wa miradi ya elimu bila fedha za serikali pongezi Sana Jokate.

Pia ametudhihirishia kuwa mwanamke Pekee ambae ameleta Ukombozi wa Wanawake kwa kuzitoa fikra potofu kuwa Wanawake wakiwa madarakani huyumbishwa kimisimamo.

Leo hii Jokate anapambanishwa na miamba ya kisiasa hapa nchini. Kaza mwendo Tanzania bado inakuhitaji maana vita inaendelea.

6. LENGAI OLE SABAYA

Huyu naye amung'unyi maneno kwenye mambo yenye maslahi katika taifa hili mtamkumbuka kwenye nyakati tofauti na matukio tofauti anavyoweza kusimama imara na kunguruma kama simba bila kupotosha umma ata kidogo, huyu anadhubutu na haogopi kuamua.

Nyeupe ataiita nyeupe,na akilitaka jambo lake litafika mwisho.

Amehudumu kwenye ofisi za UVCCM mnakumbuka sakata la Mali za CCM yeye ndie alikua vuguvugu Hadi kupelekea kubambikiwa kesi ile ya Usalama feki. Kwa Sasa anahudumu ofisi za umma Kama DC Wa Hai kwa uadilifu na ueledi wa hali ya juu.

Huyu naye ameshiriki vilivyo katika mapambano ya Kurejesha Ardhi za watu Huko Kaskazini ambako lilikuwa tatizo sugu sana.

Ndie muasisi wa vita ya Fedha Bandia Hadi kupelekea ukamatwaji Wa noti Bandia zenye thamani ya zaidi ya milioni 500 na tayari Gavana wa benki kuu kampongeza kwa kazi hiyo ya kulinda Uchumi wa Nchi.

Bila kusahau ndie muhasisi wa ukamataji wa Viwanda vya utengenezaji wa Pombe Haramu zenye stika feki za TRA Jambo lilikuwa linapelekea Taifa kukosa mapato yake.

Alisimama na kukemea hadharani kila aina ya hujuma za watu wanaotumiwa na mabeberu.

Ole Sabaya amekuwa ni mtu wa kujichanganya sana mtaani jambo linalomsaidia kupata taarifa sahihi na kuzipima kisha kuzifanyia kazi on time.

Ndio maana Ole Sabaya Amedhibiti siasa za kihuni Na haogopi,akijichanganya lema Au Mbowe anawafyatua.

Lakini Amewatapisha watu waliopiga mamilioni ya pesa za saccos na kuiba maeneo ya umma na ya Taasisi hata suala la Tasaf lilianzia kwake.

Huyu upambanaji wake siku zote ni mikakati mizito ya kusambaratisha mtandao au genge la wanasiasa na wasaliti. hatutakusahau tunakutakia mapambano mema maana vita bado inaendelea.

7. SULEIMAN JAFO
Kasi ya jafo kisiasa inapanda kwa kasi sana Ni kijana fulan hivi mwenye Nidhamu katika uongozi.

Hii njia ilimfanya Rais msaafu kikwete kupanda sana hadi kuwa kiongozi wa nchi kwa kuwa alikuwa anafanya kwa unyenyekevu kwa kila kazi anayopangiwa na mkubwa ukiangalia jafo wakati wa kikwete hakuwahi kuwa kiongozi ila alivyoingia magufuli akapata nafasi ameonyesha uwezo mkubwa ndani ya muda mfupi sio siri Ni kijana mchapakazi namtabiria makubwa asipobadilika
Ameimudu Sana Tamisemi kuliko waziri yeyote aliepita.

Jaffo Kasimamia uchaguzi wa serikali za mitaa Bila kuyumbishwa na upepo wa kisiasa na Bila kujali itikadi za kisiasa,Jafo amekuwa ni mtu ambae atulii kabisa ofisini kwa maana haamini kabisa taarifa za kuletewa,Hakika Anastahili.

8. ALEXANDER MNYETI
Kelele nyingi ziliwahi kupigwa juu yake lakini kwa kuwa Rais Magufuli sio mtu wa kusikiliza kelele alimpa U-RC. Huyu Ni Mtu wa kuamua na lazima lifanyike.

Wapinzani hawatamsahau kule Arumeru maana yeye ndio chachu ya Kuwafungua Akili wapinzani wengi wakaanza kuuona utendaji kazi Bora wa Rais Magufuli.

Mnyeti bila kupepesa macho amedhibiti migogoro ya muda mrefu pale mererani hata juzijuzi Kuna mtu aliletea chokochoko lakini Mnyeti alimnyoosha Sana.

Mzee wa Gwambina waliojaribu kumhusisha na Ufisadi aliwajibu vyema kuhusu mradi wake wa kukuza vipaji nchini hongera Sana.

Amesimamia ujenzi wa ukuta wa kihistoria wa mererani, Jamaa Yuko very bright. Pongezi kwako endelea maana Vita Bado mbichi.

9. HUSEIN BASHE

Amekuwa Ni kijana Asiejua kummunya Maneno. Amekuwa akielezea kitu kizalendo Bila kujali kuwachukiza mabosi wake ama rafiki zake.

Ni kijana mwenye nidhamu sana tangu akiwa UVCCM enzi za kuitwa sio raia, kunywima Ubunge kwa sababu za kitoto. Amekuwa kijana mwenye mikakati imara tangu kipindi anamsaidia Mzee Lowasa wakati wa kuwania kuteuliwa ndani ya CCM lakini kwa msimamo dhabiti hakutoka ndani ya CCM kisa Lowasa katoka Kama wale wengine wanaoyumbayumba Sasa, hakika anastahili.

Hongera Bashe ,Kazi Bado inaendelea pigana.

10. BASHIRU ALLY KAKURWA
Huyu Ni mwiba mzito sana Ambae anakuua huku akikuangalia usoni,Amekuwa na utaratibu wa kuwatibu watu hadharani kitu kinachopingwa na baadhi ya wanasiasa lakini imesaidia sana kuwabadili baadhi ya Watu,

Bashiru Ni mtaalamu wa kupangu hoja za wapinzani na hii imeanza kuwasumbua wapinzani kwa kiasi kikubwa,

Ni mtu mwenye misimamo migumu hasa pale yanapokuja maslai wa taifa zima Bila kujali itikadi ya chama chake.

Rai yangu kwa watanzania tuwatumie hawa MASHUJAA wetu kwenye njia sahihi katika mapambano dhidi ya mafisadi na watu waliokuwa wamezoea kwa njia haramu kwenye hii nchi tuachane na ile genge la wanafiki na wasaliti waliotaka kuiuza Tanzania kwa bei ambayo haijaeleweka hadi Leo.

Tuwapuuze kama tulivofanya 2015 kwa kuwa hawakuwa na dhamira ya dhati katika kutuletea maendeleo.

Safari ya kwenda uchumi wa kati bado inaendelea.

Ni wako kijana mtiifu,
MM

Sent using Jamii Forums mobile app
Stupidly...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa

Sent from my HTC Desire 626GPLUS dual sim using JamiiForums mobile app
 
Uko

Sawa mkuu. M M
 
Mavi matupu
 
Back
Top Bottom