Hawa ndio wanaitwa wanaume

Stream line

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
393
239
UNAJIFUNZA NINI HAPA??

```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.

Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.

Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.

Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa break fast.```

*WANAUME KOKOTE MLIKO AGIZENI BIA NITALIPIA*.
 
mwanaume ni faru John na keshakufa.
 
Back
Top Bottom