Hawa ndio wamiliki halali wa WASAFI LIMITED

Dong Jin

JF-Expert Member
Jun 4, 2018
603
1,000
Kumekuwa na mijadala mingi ambayo inazungumzia kuhusu mmiliki halali wa wasafi na wengi wakiihusisha wasafi na Kusaga kuwa ni mali yake

Hii ni document toka brela ikionesha ni nani hasa wanaimjliki wasafi limited... Hii document inaweza kumaliza kabisa yale maneno kuwa dogo Mond hana anachomiliki wasafi zaidi ya jina

Hapo ndo tunakuja ona kuwa kumbe mama Kusaga anamiliki kajisehemu kadogo sana ka wasafi ambako ni sub company in the main company

Diamond platnumz (80%) na mama yake (20%) ndo wamiliki hasa wa hii kampuni ambayo inarun sub companies kibao na wengine kama mama kusaga and the likes ni wawekezaji kwenye hizo sub companies

Screenshot_20210729-170211.png
Screenshot_20210729-170142_1.jpg
 
kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,563
2,000
Kwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)
 
Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,643
2,000
kwenye hiyo doc Main activities media haimo , TCRA wakati inasajiliwa mkewe kusaga alikuwemo Kama shareholder .otherwise mke wa kusaga alishauza share au Kuna utofauti ktk umiliki ( wasafi media and wasafi limited)

Mkuu unashindwa kusoma. Jumla ya hisa ni 10,000 na Diamond ana 1800, mama yake ana 200. Kwahiyo jumla wana hisa 2,000 ikimaanisha wanamiliki asilimia 20%. Wameweka mtaji wa milioni 100. Kwahiyo zile 80% zinamilikiwa na wengine.
 
technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,120
2,000
Nilichokiona hapo.

Kuna hisa 10,000

Diamond anamiliki hisa 1800

Mama yake hisa 200

Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.

Maana yake wanamiliki hisa 20%

80% wanamiliki wengine

All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.

Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.

Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
15,717

Mleta mada analijua hili kweli??
 
massaiboi

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
1,311
2,000
Nilichokiona hapo.

Kuna hisa 10,000

Diamond anamiliki hisa 1800

Mama yake hisa 200

Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.

Maana yake wanamiliki hisa 20%

80% wanamiliki wengine

All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.

Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.

Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
Hiyo haina maana unayotaka wewe kuwaaminisha watu, kuna shares 10,000, wametumia 2000 hizo 8,000 wanauwezo huko mbeleni wakauza au kumgawia mwekezaji mwingine, ila kea sasa hv mmiliki kwa 100% ni hao unaowaona hapo, hiyo ni official doc. Tafuta watu waliosoma Law au BCom watakuelewesha unless awe kilaza
 
tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
971
1,000
Nilichokiona hapo.

Kuna hisa 10,000

Diamond anamiliki hisa 1800

Mama yake hisa 200

Jumla wote wanamiliki hisa 2000 wakti hisa ni 10,000.

Maana yake wanamiliki hisa 20%

80% wanamiliki wengine

All in all Pongezi kwake kumiliki media kubwa kama ile kwa 20% ni mafanikio mengi sana.

Bila shaka hizo 100milion alizowekeza kwa sasa mwenye thamani zishafika 1 billion.

Sio mafanikio haba maana hii media inaweza ikawepo miaka mingi hata kama hatokuwepo yeye .
Acha kupotosha mkuu

Ishu za hisa haziko hvyo ufikiriavyo

Hizo hisa zilizobaki huachwa wazi kwa muwekezaji atakayetaka kuwekeza hvyo atauziwa hizo hisa,, na maamuzi ya kuuza au kutokuuza na tumuuzie nani hubaki mikononi mwa hao wanahisa wa sasa ( Diamond na Mamá yake)

Pia, Wasafi Límited ni kampuni tofauti kabisa na Wasafi media limited inayomiliki Tv na Radio

Isipokuwa Diamond ana hisa ktk kampuni zote mbili, Wasafi límited na Wasafi media
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,868
2,000
Ingawa sina taarifa kamili,lakini naamini a lot of informations are missing,Maswali ya msingi hapa ni kwamba-KUSAGA ana play part gani katika umiliki wa wasafi? 100M inatosha ku-finance kuanzisha TV & Redio to that level? Anyway,ni taarifa nzuri.
 
Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
14,530
2,000
Sikuwahi kuwaza kuwa Jf inaweza kuwa na watu ambao hawa taarifa sahihi na bado wakaendelea kujifanya wanajua au kulazimisha taarifa iwe wanavyotaka wao bila kustick kwenye how things are..Anyway,hili pia ni tatizo sugu kwa diehard fans wa Diamond..sijui wamelogwa?!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom