Hawa ndio walionyongwa kwa amri ya mahakama Tanzania, yajue makosa yao na Marais walioidhinisha adhabu zao

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,262
1,220
Kwa wale wasiojua katika historia ya adhabu ya kunyongwa Tanzania ni watu wawili tu walionyongwa. Ni wengi waliohukumiwa kifo ila hawajanyongwa wote.

Wafuatao na matukio yao ndio ninaowajua kunyongwa:

1. Said Mwamwindi, mkulima wa Iringa. Aliimuua aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa Dk. Wilbert Kleruu mwaka 1971 Desemba 25. Inadaiwa RC alimgombeza Said mbele ya wake zake kwanini anafanya kazi siku ya sikukuu, ilikuwa ni Krismasi na Jumapili. Huyo mkulima akampiga risasi RC.

2. Mtanzania mwenye asili ya Asia aliyeifanya ajali kwa makusudi na kumuua mkewe ili alipwe bima ya gari lake lililokuwa na hitilafu kubwa na la zamani.

Hawa wote wamenyongwa kwa idhini ya Mwl. Nyerere.

Hawa ndiyo ninaowajua na sikuckia wengine. Mwenye kuongeza au kurekebisha hii historia atusaidie tujifunze.
 
Wewe mwongo sana. Kama hujui unauliza. Tena acha kabisa ujinga wa kusema uwongo hapa. Watu wamenyongwa na nguo zao zimerudishwa majumbani kwao halafu wewe unasema ni wawili. Nyerere alinyonga wawili, awamu ilyofuata ilikuwa kiama!.

Tena acha upuuzi kabisa.

Toa ushahidi
 
Acha kutokwa povu. Taja wangapi wamenyongwa na majina kama unaweza
 
Wewe mwongo sana. Kama hujui unauliza. Tena acha kabisa ujinga wa kusema uwongo hapa. Watu wamenyongwa na nguo zao zimerudishwa majumbani kwao halafu wewe unasema ni wawili. Nyerere alinyonga wawili, awamu ilyofuata ilikuwa kiama!.

Tena acha upuuzi kabisa.
Taja hao unaowajua
 
Back
Top Bottom