Hawa ndio wafanyabiashara wa mafuta nchini wakivutana na Serikali juu ya bei mpya !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
08_11_xvx0bu.jpg

Wako Tanzania kwa kazi moja tu, kuchuma.

08_11_xvx0bu.jpg

Wako Tanzania kwa kazi moja tu, kuchuma.

Na kwa bahati mbaya sana tuna serikali legelege, hivyo basi imenywea kwa "wachakachuaji" wasiotaka kushusha bei.

serikali legelege ilishindwa kuwadhibiti wasichakachue mafuta sasa inaelekea kushindwa kuwadhibiti wachakachuaji ili washushe bei ya mafuta.

Inabidi kuchukua maamuzi magumu kama Iddi Amini ili nchi iwe na heshima!

Guys that is not true....I wish all multination companies to go and leave Tanzania government through TPDC and other fishy compaies to operate! tutawakumbuka haya makampuni makubwa! guys, problem sio oil companies....problem ni leadership. Lets dig down the facts before concluding! these big oil companies have made their position very clear! kwanini tusiwasulubishe halafu tuiendeshe hii sector wenyewe???? Natabiri petroleum industry kugeuka Tanesco nyingine!!! But time will tell

Brian Cooksey hakukosea hata kidogo!, Biashara kubwa na za kati ni wenye asili ya kihindi na kiarabu tupu....

Guys that is not true....I wish all multination companies to go and leave Tanzania government through TPDC and other fishy compaies to operate! tutawakumbuka haya makampuni makubwa! guys, problem sio oil companies....problem ni leadership. Lets dig down the facts before concluding! these big oil companies have made their position very clear! kwanini tusiwasulubishe halafu tuiendeshe hii sector wenyewe???? Natabiri petroleum industry kugeuka Tanesco nyingine!!! But time will tell

umenena vyema problem ni leadership
na hii kwa sector zote,mfano angalia zile mbwembwe za Tibaijuka zi wapi???

Wako Tanzania kwa kazi moja tu, kuchuma.

kwanza kitendo cha kuanza kuibishia serikani ni sign tosha kuwa wako kipesa zaidi na wanataka kubishana na serikali kwa kuwa tu serikali yenyewe iko kilegelege.

hapa walioleta shida ni serikali yenyewe ndo maana wanashidwa kuwa mpiga mkwara..

karibia wote ni wahindi na waarabu tu. tuwatimue waende kwao jangwani wakaandamane tahirir square huko...selikali imefyata mkia kw ahawa...

hawa ni watanzania halisi kama mtanzania yeyote. Bila hawa labda mapaka leo tungekua tunavaa kigozi kiunoni na kula wadudu. Acha Watanzania hawa wachape kazi na kuleta maendeleo - sie ni wizi tu na kufilisi mashirika ya uma ndio tunaweza.

Back
Top Bottom