Hawa ndio wachawi wa CCM

Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,190
286
Unahangaika bure tu, huu mwaka mabadiliko lazima na Lowasa ndiye rais

Mabadiliko Ya Kweli Anayo MAGUFULI Kiongozi Asiye FISADI. Bado Unao Muda Wa Kujitoa Kenye Team UFISADI = UKAWA = LOWASSA

KAMA UNAIPENDA TANZANIA CHAGUA MAGUFULI ILI TUTOKOMEZE UFISADI PAPA.
 
Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,190
286
Pushup hazitowasaidia kitu, watz wameamua kubadilisha utawala na Lowasa ndiyo chaguo lao.Watz wanasema nchi yao sio Mali ya ccm tu bali ni mali ya watz wote

Bado Unao Muda Wa Kujitoa Kenye Team UFISADI = UKAWA = LOWASSA

KAMA UNAIPENDA TANZANIa CHAGUA MAGUFULI ILI TUTOKOMEZE UFISADI PAPA.
 
nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
181
Bado Unao Muda Wa Kujitoa Kenye Team UFISADI = UKAWA = LOWASSAKAMA UNAIPENDA TANZANIa CHAGUA MAGUFULI ILI TUTOKOMEZE UFISADI PAPA.

Msiposikiliza ushauri basi mtakiua chama chenu mapema sana…Dharau zenu ndio zinazoangamiza chama chenu
 
Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,190
286
Pushup hazitowasaidia kitu, watz wameamua kubadilisha utawala na Lowasa ndiyo chaguo lao.Watz wanasema nchi yao sio Mali ya ccm tu bali ni mali ya watz wote

Wewe Wasema!!

TUSIKUBALI KUBARIKI UFISADI PAPA WA LOWASSA KWA KUMPA KURA ZETU.
 
Kubwajinga

JF-Expert Member
Jan 23, 2008
2,190
286

Msiposikiliza ushauri basi mtakiua chama chenu mapema sana…Dharau zenu ndio zinazoangamiza chama chenu

Vema Kabisa Mkuu, Wapashe Hawa UKAWA.

TUSIKUBALi KUBARIKI UFISADI PAPA WA LOWASSA KWA KUMPA KURA ZETU.
 
aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,212
Ila kikwete kaifanya tanzania kuwa nchi ya ajabu sana, kajaza wajinga wajinga kwenye nafasi mbali mbali(refer mawaziri mizigo) nchi imekuwa inaendeshwa bila weledi, sio polisi, sio mahakama, sio vyombO vya habari , huoni utalamu uliobobea watu wameweka siasa kila mahali, hata matamko ya ikulu yakitolewa na makosa kibao..ukawa lindeni kura msafishe nchi hii

Kikwete anajua sana alichokifanya. Sio mpumbavu yule. Alifanya kutengeneza njia rahisi kufanya mambo yake.
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,533
6,606
wakuu hivi yale majina matano pale dodoma yalitoka kwenye mfuko wa mkapa ama kikwete? nimesahau kidogo wakuu nikumbusheni...
 
Jonah

JF-Expert Member
Dec 9, 2011
585
341
Hasara ya UFISADI wa LOWASSA + Richmond Scandal kwa taifa ni US $138.954 Billion = TShs 294.668284095 Trilioni

hivi tokea lini serikali iingie hasara kiasi kikubwa kuliko bajeti yake ya mwaka? unajua bajeti ya Tz kwa mwaka 1 wa fedha ni sh ngapi? wizara ya nishati ilitengewa bajeti kiasi gani ili iingie hasara ya kiasi cha zaidi ya trillion 294?
 
nyengo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
454
181
hivi tokea lini serikali iingie hasara kiasi kikubwa kuliko bajeti yake ya mwaka? unajua bajeti ya Tz kwa mwaka 1 wa fedha ni sh ngapi? wizara ya nishati ilitengewa bajeti kiasi gani ili iingie hasara ya kiasi cha zaidi ya trillion 294?
Mkuu achana na huyo jamaa…anajua kabisa ukweli lakini anataka kutupotezea mda
 
mjinga

JF-Expert Member
May 11, 2008
328
129
Mkapa nae hata habadiliki!!yaani mpaka sasa huko kusini kawatukana watu….yaani kwa hadhi yake na cheo chake ilibidi awaachie akina kibajaji watukane na mama Mshamu…Yaani ni aibu sana CCM
 
9 Reactions
Reply
Top Bottom