Hawa ndio vongozi wa chadema mkoa wa shinyanga waliochaguliwa leo 23.08.2014.

Emmanuel J. Buyamba

JF-Expert Member
May 24, 2013
1,167
651
BAVICHA;mwenyekiti ni Crispin Simon Myeke wa solwa.Katibu ni Ezekiel Joseph wa msalala.BAWACHA;M/kiti ni Rachel Mashishanga wa shy town.katibu ni Winfrida Daud wa kahama.WAZEE;M/kiti ni Muhidin Mfwangavo wa msalala.Katibu alikosa sifa.KATIBU wa chama ni Zacharia Thomas wa kishapu na mkuu wa chama sasa yani MWENYEKITI MKOA ni Peter Machanga toka msalala.Kwa timu hii shinyanga ccm ndio kwa heri.PEEEOPLEES.....!
 
Chadema Hamna siku hizi kuna ukawa ilishaamfia Mbowe kitambo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom