Hawa ndio top 10 ya mawaziri walioichakachua sana serikali ya awamu ya nne | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndio top 10 ya mawaziri walioichakachua sana serikali ya awamu ya nne

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mchakachuaji, Sep 9, 2010.

 1. m

  mchakachuaji Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1. SOFIA MNYAMBI SIMBA
  2.JUMA ATHUMAN KAPUYA
  3.JOELI NNKAYA BENDERA
  4.JUMMANNE MAGHEMBE
  5.MAKONGORO MILTON MAHANGA
  6.LAWRENCE MASHA akaTOZ au BACK FROM AMERICA
  7.WILLIAM MGANGA NGELEJA
  8.PHILIP SANG'KA MARMO
  9.SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA
  10.HAWA ABDULRAHMAN GHASIA

  NB: WALIOFANYA VIZURI WAPO NA NITAWATAJA JAPO HAWAFIKI 10!MAONI RUKSA :eek2:
   
 2. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ongeza uliowasahau baraza la kikwete lina mawaziri karibu 50
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Usipomtaja Mustapha Mkulo, utakuwa haupo makini.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,556
  Likes Received: 11,461
  Trophy Points: 280
  Kuachakachua maana yake ni nini?
   
 5. M

  Mwanafunzi Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Dec 5, 2007
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nami nasubiri kwa hamu maana ya kichwa cha habari ili niweze kujua
  kama naafiki au la.
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,746
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  Kama uchakachuaji hapo unamaanisha kutokuwa makini katika utendaji wao, nakubaliana na wewe ila kama ungenipa fursa mimi ya kuwayaja ningemchomoa hapa NGELEJA na badalayake ningemwongeza STIVEN WASIRA!
   
Loading...