Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Kuna njemba mmoja anaitwa Nguchiro yy huwa anachungulia chungulia tu but ni memba poa sana
 
Mbona hujamuweka Mshana Jr , Huyu ni moja kati ya members wenye mchango mkubwa sana na pia ni mtu mwenye Credibility kubwa sana humu Jf , ila sio bure itakuwa ww ni mgeni humu au umeamua kuelemea kwenye mrengo fulani tu kwenye hiyo list yako.
 
Kama jina lako lilivyo mkuu
Mkuu unaelewa maana ya jina langu? Hayo ni majina ya Africa magharibi,kwa nchi kama Nigeria,Mali,ila hili langu asili yake ni Sierra Leon, maana yake ni"Head of circumcisers" au kwa kiswahili "ngariba mkuu"
 
Hawa ni baadhi ya member wenye Contents nyingi sana kwenye baadhi ya nyanja za maisha, kunaweza kukawa na wengine ila hawa ndio nime wang'amua kwa.

Vigezo nilivyotumia
1) KuSpecilze nyanja fulani
2) Kuandika Contents zilizo na information nyingi na details za kutosha.
3) Kubeba maono

Wyatt Mathewson
Huyu content za kibabe (Capitalist) zenye maono sana ukiisoma misimamo ya huyu inakujenga kuwa strong sana kwenye masuala ya uchumi na maisha.

Nafaka
Huyu ana Content zinazohitajika dunia ya sasa, kwenye Content za Online Money Making, Content za maisha ya kiuchumi na mambo ya pesa kiujumla contents nyingi.

GLOBAL CITIZEN
Huyu ndio Father WA Online Business, ana contents zenye ujazo Sana na anaamini kama upo good kwenye kitu fulani usifanye for free.

C.T.U
Huyu Contents zinazohusu Startup, Online Software, Kampuni zenye mlengwa wa Silicon Valley yupo vizuri sana, yupo vizuri kwenye Calculation za namba Za projects.

Mwl.RCT
Moja katika watu wanaoheshimika sana, kwenye nyanja ya online shopping na uwanda mzima wa online Business.

Chief-Mkwawa
When it come to technology mambo ya hardware na software simu na computer huyu mwisho, anaelezea simu vikarabwasha mpaka unajiona mweupe, He is Search Engine at that area. Tukizungumzia ujazo wa details huu mfano mahsusi.

T14 Armata
Huyu haja-base kuanzisha nyuzi contents zake utaziona kwenye reply zake na content nyingi sana za masuala kijeshi, Biashara na mtu aliye Update sana na kinachoendelea Duniani.

Da'Vinci
Huyu ni konyo sijui anaishi vipi kama Content huyu bwana ni maktaba, anasoma sana huyu jamaa.

Habibu B. Anga
Huyu ndio Father of Content jukwaani.

Hawa wanaeleza kitu in details, numbers na mifano ukifuatilia nyuzi aunt reply zao zimeshiba contents.

Wengine nimewasaau nitawaweka.
karibu forum kwanza. Ukisema nyanja mbali mbali unatakiwa uitaje nyenja na watu mahiri kwenye nyanja hiiyoo cha kushangaza si jaziona ivo mfano
- nyanja ya cosmology,na space useme labda kiranga na lifecode.
-Nyanja ya mila ,utamaduni na na nguvu za kiroho useme mshana jr labda na Rakims.
-nyanja ya vyombo vya usafiri extrovert na prondo .
sasa unaandika andika tu hovyoo hovyo kijana vp
 
Sijasoma sana maandika yake, Specialize yake masuala ya Giza naona uvivu kupitia kitu kingine yupo General kuandika vitu tofautitofauti Randomly.

What is great thinking? Who are the great thinkers?
 
Back
Top Bottom