Hawa ndio baadhi ya nyoka duniani wanaopendeza kufuga kama pet nyumbani

Nyoka hajawai kuvutia, taswira yake ipo kishetani zaid
Ndio maana mapokeo yanasema shetan alijigeuza umbo la nyoka
 
Aina hizi za nyoka hawanaga sumu mkuu ama hawana athari yeyote kama wakikung'ata
Acha utani wewe,hao wote hawafai ni top rank,black mamba tu ndio hayupo hapo.cobra, vipers, na huyo wa kijani aliyechongoka anaruka kutoka mti mmoja hadi mwingine,( anapaa angani)
 
Nimefuga koboko a.k .a Black Mamba. Ni mzuri sana na ana upendo wa hali ya juu sana

IMG-20190522-WA0032.jpeg
 
Back
Top Bottom