Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,174
nafanya kampuni ambapo wafanyakazi wote wanaotumia mabenki mengine wamepata mishahara tangu tarehe 27 lakini kuna wafanyakazi wawili, mimi nikiwemo tunatumia NBC kupitishiwa mishahara lakini hadi leo tarehe 30 hatujapata kitu.
kwangu mimi tatizo hili linajitokeza mara ya pili ndani ya miezi mi 4. last time ilibidi mpaka niandamane ndo wakaingiza pesa kwa akaunti tarehe 3 ya mwezi uliofuata.
NBC shida ni nini? Au niandamane tena? mnaboa!