Hawa nao wamehusika kwenye uchakachuaji kwa kimedia

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
blog7.jpg
 
Huyo Masaku jana alikuwa bize kumkandamiza Regia wetu ITV kwa saa lizima alikuwa anamfagilia Mteketa....nasikia ni mtu wa huko...yaani hakujua hata ya kuwa Regia ni Mama yeye akimwita Bwana Mtema...kwa kweli nimevunja screenyangu jana
 
Baadhi ya waandishi wa habari wamekuwa wakionyesha ushabiki wao wa kisiasa wazi wazi bila kificho.
 
Wanakiuka maadili ya Uandishi. Hata hivyo, tegemea mbwa yoyote kumheshimu bwana wake hata kama atampiga teke.
 
Hakuna mwandishi wa habari anayetumia taaluma yake ipasavyo tanzania hii, woote wababaishaji, wamejawa na ushabiki na njaa tupu. Siwapendi
 
Masakuu walimpiga chini kura za maoni naona anabembeleza apewe favour ya presdaa au anjipanga tena kwa twent fifteeeeeeeeeeeeen!!
 
Wapo waandishi wenye kujali taaluma yao hapa Tanzania. Wapo akina Ulimwengu, Johnson Mbwambo, nk Pia walikuwepo akina Katabaro tena enzi hizo ya vigazeti vichache vyenye kujikomba kwa wakubwa!!
 
hahahaha nimeipenda hii...hii ndo saizi yake..yaani masako ni kama rungu tuu anataka jilinganisha na ak 47 ahahahahahahahahaha saaafi....pomole yule..

Poa jamani lakini tusiwakatishe tamaa wapambanaji walioko ktk media kwa sababu tu ya wachakachuaji wachache kama Mtanzania, Rai na Jambo Leo. Wako watu ktk media mfano Kulikoni, Thisday na Mwananchi au Tanzania Daima ndio wamesaidia mabadiliko tunayoyaona leo na tunayoyashangilia, kwa hiyo tusikurupuke tu kuanza kuchakachuana sisi kwa sisi.
 
Wana JF
kwanza, lazima tukubali kuwa kila mtu anamtazamo wake katika kuchambua au kuangalia suala fulani na ni haki yake,
Pili, kila mtu ana haki yake ya kidemokrasia kushabikia upande fulani na hakuna mtu mwenye haki ya kutaka kujua kwanini ni shabiki
Tatu, kina mtu yuko huru kuwa mwanachama wa chama chochote hivyo akajisikia anawajibu wa kusemaa chama chake 'positively'
Nne, Kuna baadhi ya watu hawako katika kundi lolote kazi yao ni kuwa critical katika masuala mbalimbali bila kujari ni la chama gani
Tano, JF ni jukwaa huru kwa mtu yeyote bila kujari yuko upande gani katika makundi niliyotaja hapo juu

Kwa mantiki hiyo si sahihi kwa wale ambao wanakuwa na mawazo tofauti hasa na wale washabiki na wanachama na wapenzi wa CHADEMA kuanza kusakamwa, kuonekana hawafai, kuwatukana n.k
Wale wanaJF ambao wamekuwa wanawasakama wanaJF wngine ambao wametofautina nao kimawazo, kiitikadi na mitazamo ni namna ya kuonyesha ufinyu wa mawazo, kutokomaa kimawazo na udikteta wa mawazo. Wanatakiwa kubadilika kimawazo wawe wanajibu hoja kwa hoja badala ya kutukana na kukashfu wana JF wengine.

Wana JF hao wakumbuke kelele za chura hazimzii ng'ombe kuywa maji, la msingi ni kufanya uchambuzi wa kina wa hoja na kuona wapi palekebishwe kwa manufaa ya baadae, hivyo kwa namna fulani wan JF tuwe kama pressure / lobbying group kwenye society ili kurekebisha mambo.
Kama mtindo utakuwa wa namna hii JF itakuwa kama jukwaa la MBAYUWAYU ambapo nafikiri hata founders wetu wa JF wasingependa tuwe mbayuwayu ila wangependa tufanye kitu cha kuleta mabadiliko katika jamii yetu
 
he is one of CCM vuvuzelas, jitu zima hovyo, i hate him, sauti kama paka mzee kabanwa na mlango, ana sauti mbaya huyu, sijui amepataje kazi ya kutangaza, alivyokuwa anatangaza habari za Mtema nilikuwa na kunywa maji nikashtukia nimemwagia yote kwenye Screen, anaudhi huyu, ww acha tu shiit, CCM ina watu waajabu duh, what an idiot,
 
Hakuna mwandishi wa habari anayetumia taaluma yake ipasavyo tanzania hii, woote wababaishaji, wamejawa na ushabiki na njaa tupu. Siwapendi

Hawa wawili; Ansbert Ngurumo na Johnson Mbwambo hawamo kwenye kundi hilo ulilolisema!!
 
Back
Top Bottom