Hawa Nao Ni Vijana Wa Kisasa Wapenda Mabadiliko

mwili ccm roho chadema hakuna tabu hapo.hata arusha walivyomwaga mahela 2livaa maflana na makofia.kwenye kampeni 2kifika kitaa 2nafanya kazi ya roho kampeni kwa cdm.wengine hawana kazi,kazi zao haziuziki,chama tawala hawana sera nzuri za kusimamia kazi zao.kwa hiyo vijana wana njaa acha wapate ajira za muda mfupi hata vitegemezi viweze pata japo mboga ya pili.ila kwenye chumba cha kupiga kura ni pipoz powa!!!nauhakika asilimia 80.
 
Back
Top Bottom