Hawa Nao Ni Vijana Wa Kisasa Wapenda Mabadiliko

Puppy

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,995
2,494
Hawa Nao Wanapenda Mabadiliko Au Wanakwepa Njaa?
 
Attachments

  • Wasanii wa sssisisiisiisiisisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiiisiiisiisiiisiiii.jpg
    Wasanii wa sssisisiisiisiisisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiisiiisiiisiisiiisiiii.jpg
    287.8 KB · Views: 841
wachumia tumbo tu hawa. tuna safari ndefu sana ya kuelekea mabadiliko kama sisi vijana ndio tunakuwa mstari wa mbele kusaliti uzalendo wetu na kukimbilia pesa kama mafisi.
 
Money comes first, mlitaka wakate kuisupport ccm mbele ya hela na vp kama wao ni ccm damu.. Hata kama ni wewe uko chama kingine ila ukipewa pesa utasupport tu ccm, "anything for money" that's hustlers motto. THINK BIG
 
pesa haramu et? Pesa iliyoibwa kwa wavuja jasho wa TZ na mafisadi wenu.
 
Toka lini utumwa ukaitwa "Hustlers's Motto".
 
Kama ni kweli nambieni nifute nyimbo za jomakini zoote kwenye folder zangu!
 
Njaa tu,wanahama mikoani wanakimbilia dar wakisingizia soko la muziki. Sasa hapo ni sokoni?Pia wanasahau kuwa kampeni ni jambo la muda mfupi tu.
 
Yaani hadi 'Ngosha the Don' na 'Northern Rock'!!!??? Nyimbo zote za harakati kumbe wakiwekwa vizuri na nguvu ya pesa wanafyata mikia na kuvaa blauzi za Magamba.Kweli pesa mwanaharamu.
 
Njaa tu,wanahama mikoani wanakimbilia dar wakisingizia soko la muziki. Sasa hapo ni sokoni?Pia wanasahau kuwa kampeni ni jambo la muda mfupi tu.

Wamesahau wateja wao wanapenda nini. Ngoja siku wagomewe jukwaani ndio watatia akili.
 
Yaani hadi 'Ngosha the Don' na 'Northern Rock'!!!??? Nyimbo zote za harakati kumbe wakiwekwa vizuri na nguvu ya pesa wanafyata mikia na kuvaa blauzi za Magamba.Kweli pesa mwanaharamu.

Hii inaitwa "double njaa" Njaa ya tumboni na Njaa ya kichwani
 
Amini usiamini hawa wote walimpigia kura Dr Slaa, hapo wako kazini tu.

Sasa hapo wanafanya kazi gani?? Hapo walipo wao ni kama kura 15-30max tufanye zote zilienda CDM au chama kingine pinzani.Nataka upige picha idadi nyingine ya vijana maelfu wanaowakubali sana hawa vibaraka jinsi watavyoshawishika kuona magamba wanafaa kisa wamechukua some 'influential puppets' kuwapigia kampeni.Usitake kuniambia kazi ikikiuka maadili,principles au beliefs zako utaifanya tu eti kisa unapata pesa?
 
Sjaona ubaya kwa hao vijana wanatafuta pesa lakini wanajua kura wanapiga wapi.
 
Amini usiamini hawa wote walimpigia kura Dr Slaa, hapo wako kazini tu.
Mimi siamini ktk ujinga. Hawa wana jukumu kubwa la kijamii kuliko CCM il ni uelewa mdogo! Hapo kwenye blue mkuu ukitangaziwa hela sasa hivi uko tayari kufanya ushoga??? Kazi kazi haramu kaka????
 
Back
Top Bottom