Kama unayo na amekupa sababu yamsingi msaidie........kuna wimbi la vijana wa shule secondary na msingi...wanaomba sana barabarani...mara naomba mia,..nimepoteza nauli...mara naomba hela nikanunue hiki...hivi wakikutana na watu wakawapa with conditions itakuwaje?alaf wengi ni wakiume...
utakutana na mmoja atakuambia amepoteza nauli, kesho au baada ya siku mbili anakutana na ww amesahau kua alishakuomba, anaomba tena...je anapoteza kila cku?na kwa nn yy tuu?