Hawa mabinti wa uswazi tabu sana jamani

Mh! Mi ninadhani kila mahali kuna faida na hasara zake. Ukweli mimi kuna vitu navipenda kwa wadada wa uswazi, kwanza kukosa nyodo na kutotaka makuu. Hao wa kishua, unakuta ukitaka kumpiga mikato fulani, malalamiko kibao utasema unambaka. Wa uswazi kwakweli burdani, mathalani, popo kanyea mbingu, twende, kifo cha mende twende, mbuzi kagoma kwenda twende, kuna nazi twende jumlisha mabuno ya kufa mtu. Pia, wao wanapatikana 24/7, siyo hawa wa masaki, unataka kumfyokoa utasikia , darling naenda kumpokea dad airport. Shexzxx kabisa.Ukumbuke mara nyingi wanaume hatutaki challenges toka upande wa pili. Basi mimi nikiwa na wadada wa uswazi burdani.

Kuhusu usafi, nakupinga. Wewe umekutana na watu wachafu tu. Wadada wa uswazi wanajua sana usafi. Anaweza asivae nguo hizo tunazoona za kishua, lakini kuhusu utaratibu wa kutunza mwili kwa kufuata maelekezo ya mabibi na mababu wanajua sana. Dada wa uswazi ndo wanajua kuwa mkimaliza gemu, kuna vigezo na masharti ya usafi. Ndiyo wanajua ile miiko ya asubuhi kuamkia kuoga bafuni kabla hajapika chai. Hujazungumzia kuvaliwa kanga moko na shanga. Hao wa kishua kanaweza kulala kitandani na kuamka saa tano kananuka mtombo wala hakajali.Kazi yao kuwa na vimaneno vya kukopi kwenye series na soap opera, mfano, baby, honey, hubby, my love n.k.

Uswazi mdumu zaidi
Mabinti Wa Uswazi Oyeee, Watabaki kua Kileleni
 
Juzi nilikutana na binti mrembo maeneo ya rangi3 akanipa namba leo Ndo tulipanga kukutana katika restaurant moja apa rangi3 inaitwa taweed restaurant.

Mda wa kukutana ulipofika nikajongea cha kushangaza naona mtu anakuja na watu wake watatu kisaikolojia ukiwaangalia wamekuja kimaangamizi washamba,wachafu,mtu hata sikumtongoza washaanza kuniita shemeji mda wote wanajichekesha maskini walikuja kunikomoa kumbe mwanaume nimewanunulia vitu na ushamba wao wamekula maskin vingine wamebeba wakaondoka mmoja mmoja ndo nikabaki na rafiki yao.

Kiukweli yule binti nilimwona classic ila kwa tabia walizoonyesha marafiki zake hafai hata kupata salamu yangu siwezi kua na mashemeji of that kind sitorudia tena kutongoza uswazi nabaki na mboga saba wangu nikirudi kwangu changombe.


Tatizo mademu wa kishua wengi au watoto wa viongozi the majority are fucking ugly hata wa bure huwezi kuchukua labda uwe na nyege za nzi tu. Mademu wazuri wote wako uswazi.
 
Back
Top Bottom