Hawa ma DK wa jamiiforum mbona wa hovyo sana

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,892
22,649
Kumezuka tabia ya wanajamii forum wenzetu kujiita/au ni halisi wa Phd humu ndani sioni tatizo kwa hilo .

Tatizo ni mbona vichwa maji sana ukikuta kuchangia thread hadi unashangaa huyu ngumbalu wa wawapi ila anajiita Dk au Phd .

Mbona vilaza sana au Phd za michongo na majina Halisi

Aaaahhahaaa

Unashauri tufanyeje mkuu
 
Kumezuka tabia ya wanajamii forum wenzetu kujiita/au ni halisi wa Phd humu ndani sioni tatizo kwa hilo .

Tatizo ni mbona vichwa maji sana ukikuta kuchangia thread hadi unashangaa huyu ngumbalu wa wawapi ila anajiita Dk au Phd .

Mbona vilaza sana au Phd za michongo na majina Halisi

USSR
Hao ni witchdoctors kila siku wanajitunuku vyeti halafu huko Google hawatambuliki hata 😁

Ni waganga njaa tu kama mzee Mpili
 
Mimi sihusiki jukwaa langu ni Ajira na kazi huu mwaka wa tano nikiendaga deep nakuaga MMU Katika kataa ndoa na Jukwaa la Elimu TU sasa huyo USSR Ni ccm wapi na wapi na mm
Kumbe anaongelea madokta wa sisiemu? 😅😅

Sorry kwa kukumention mkuu. Na hao wengine wanisamehe pia
 
Back
Top Bottom