Hawa Kina Drogba Wasituvuruge. Tuwatimue

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Chadema msitetereke. Kama kuna mtu analeta usaliti ati kwa kisingizio yeye ni 'mbunge kijana machachari'. Ati yeye ni drogba anaweza sajiliwa na timu yoyote. Kama anaenda kinyume na sera na maamuzi halali ya vikao halali vya chama. Mimi nasema fukuzilia mbali huko sasa na mapema.

Sisi WaTz hatutetereki.

Nitoke chadema niende wapi? CCM? CUF? NCCR(alikoharibu kiraracha)? wapi?

Kama ninaweza kutoka chadema, basi bora niende kaburini kabisa maana sioni chama mbadala.

Fukuza. Hafu tuone huyo ataibuka kuwatetea kwenye majukwaa ya siasa kama hajapigwa jiwe la kisogo. Kama Mtikila Tarime.

Nimemaliza.
 
Kwenda kinyume na maamuzi ya chama tena ya wengi wape ni dharau na utofu mkubwa na nidhamu. Chama si cha mtu binafsi ni mali ya jamii kwa kuwa kuna watanzania wengi tu wanainterest na Chadema ambao wengi sio viongozi wala wanachama bali wanaona tu ki chama mbadala hapa nchi kwa sasa. Hivyo kiongozi yeyote atakeyeenda kinyume na maamuzi sahihi ya chama atakuwa hajawatendea haki hawa watanzania.
 
Walichofanya wabunge wa Chadema kilitakiwa kuwa kimefanywa na viongozi wa Chadema, sijui kwa nini wamechelewa kumchukulia hatua stahiki
 
Excellent, wonderful, if somebody, whoever that human animal will be, kama anavuruga chama, mara anaenda kinyume na chama nisimfiche Zitto like, if he/she akaona is more marketable, sijui machachari, sijui what.....
quickly exit, hutaki tunakuondoa, CHADEMA is real, we had, & we will never live with hypocrite, period
 
yeah, tangazo la wanachadema

did you expect any debate?

I wonder, they welcomed those 'players' with their own two hands (mind??), they have used them (to increase ruzuku)! Shibuda said that statement..... ..''I am Drogba" guess what, no one dare to touch him!!! anaweza akajivua uanachama, uchaguzi ukarudiwa na akasimama kwa chama cha UDP au SAU na still akashinda!
 
i wonder, they welcomed those 'players' with their own two hands (mind??), they have used them (to increase ruzuku)! Shibuda said that statement..... ..''i am drogba" guess what, no one dare to touch him!!! Anaweza akajivua uanachama, uchaguzi ukarudiwa na akasimama kwa chama cha udp au sau na still akashinda!
well captain

i guess some teams eg. La galaxy used beckham to promote their profile and sell more merchandise

doesnt hurt much pal

just another billboard and zaddock get a few quids for the job
 
well captain

i guess some teams eg. La galaxy used beckham to promote their profile and sell more merchandise

doesnt hurt much pal

just another billboard and zaddock get a few quids for the job

aende zake, who cares? hapa kazi tuu, by the way hata Drogba anahitaji timu nzuri na kocha mzuri kuweza kushinda mataji pia anapaswa kuwa na nidhamu na kuweka maslahi ya timu mbele.

Mchezaji mzuri akiwa kwenye timu mbovu atateseka tuu, na mchezaji mzuri asiye na nidhamu hafai, pia mchezaji mzuri asiyemheshimu kocha hufukuzwa kundini kama anabisha akamuulize Anelka alifanywa nini south kwenye WC

kutokana na wachezaji kutomuheshimu kocha na kukosa nidhamu Ufaransa iliiishia kupata aibu kwenye kombe la dunia. Shibuda, Arfi, Mhonga, Anna Komu, na Zitto lazima wawe na nidhamu, waheshimu wenzao na chama pia vinginevyo tutawatimua kama Akwilombe, Kabourou, Danda na Kafulila
 
Aende?mara ngapi? kwa matendo aliyokifanyia chama ni ushahidi tosha kwamba hakuwa nao,hivyo hii ni kukidhi formalities tu.
 
Japo zito anonekana kuwa Msaliti,kiburi ndani ya chama, hekima na busara zinahitajika sana katika kufikia maamuzi.maana kila uamuzi unaweza kuwa wa faida au hasara kwa chama (CDM).mi kwa ujmla mauamini uongozi wa chama naamini watachukua maamuzi ambayo jamii na wapenzi wa chama kwa kiasi kikubwa wataridhia
 
Sijaona debate in this thread! naona tangazo la wanachadema!

i think nobody is interested in questioning your thinking capacity.

but i think your thinking capacity is questionable

akili yako kama ya fundi bajaj

amejizolea umaarufu jumapili mbili mfululizo.
 
Back
Top Bottom