Hawa kila napopata mpenzi JF kuna mtu anakuja kumrubuni

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,465
23,731
Yaani mimi watu/mtu flani ananifanya kama pointer. Kila nikipata demu mkali wa humu nika mtest tunakubaliana kabisa nimfanyie usajili hata kwa msimu mmoja.

Ila haipiti muda kuna jamaa ana/wanakuja kuwarubuni.ni kama kamaa anakaa tu kuangalia inbox mi nmempata nani... Hii tabia inanikwaza sana maana wengi wananifaham kutoka kitaa walikuwa wananiita mzee wa ku point.

Maana nikichagua demu anakuwa kisu hasa, yaani kasimama kinyama...ila kuna mijamaa inakuja kuharibu kuwa mimi msela nondo sana, nakula kuku moshi n.k kisha si muoaji inachukua mizigo ambayo nlipoint. Hili lina nikwaza sana.

Haya wapo wapi hawa Nonle queen brigither wapi wapi sasa? Wengine wanakuja kwangu kulalamika kuwa walidanganywa tu niwasamehe yeshe.
 
Tatizo huna hela
 
Hiyo ndio dawa yenu

Kwanini ukipata demu unafanya matangazo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni mshamba sijawahi kuona, wewe umemsaundisha demu mmekubaliana Mambo ya kuanikana humu yanatoka wapi.

Hujakuwa Tena yawezekana uko stage ya balehe
 
Back
Top Bottom