Hawa jamaa Petrodel Resources Limited hawa

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,329
29,118
Kuna mtu ana clues za hawa wakulu? wapo hapa nchini tangu 2005 wamemilikishwa oil block kule Tanga.
bado wapo au kunani pale Tanga???
 
Kuna clue kwamba kampuni hii haikufuata taratibu sahihi kisheria kupata nafasi ya kuchakachua mafuta hapo Tanga.
 
Kuna clue kwamba kampuni hii haikufuata taratibu sahihi kisheria kupata nafasi ya kuchakachua mafuta hapo Tanga.


Kwa hiyo wanatafuta nafasi mpya ya kuchakachua hizo taratibu vizuri zaidi ili waweze kuchakachua hayo mafuta?
 
Mkuu nenda pale TPDCBenjamin mkapa Tower floor ya 4 kwa taarifa zaidi
 
Ktk wilaya ya Mkuranga nimeona signs za visima viwili vya mafuta. swali hapa ni kwamba je hayo mafuta yapo au ndo guessing game inaendelea???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom