Hawa ITV vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ITV vipi?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by YeshuaHaMelech, Oct 27, 2010.

 1. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kwanza walitukatili ambao tulikosa mahojiano na Dr. Slaa. Sasa leo wamempa kikwete muda mreefu kuongea lakini Prof. Lipumba kule kigoma amefanyiwa usanii, yaani ameruhusiwa sekunde chache kisha mtangazaji akamsemea kidogo wakamtoa.....khaaa, nyie ITV mbona siwaelewi? Kwanini mnafanya haya?
   
 2. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,986
  Likes Received: 3,735
  Trophy Points: 280
  Kwani unashangaa nini kuhusu IPPMedia?
  Au umesahau inamilikiwa na Mengi (the former fisadi turned opportunist)??
   
 3. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  lakini inapokuja ktk profession inatakiwa wawe makini. Au mkuu keshamwaga mikwara?
   
Loading...