hawa heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hawa heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sop sop, Aug 18, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  jaman hawa jamaaa wamneambia kwamba imemisi picha ya mdhamin na wamesema tuwaone huko dar sasa sisi wa mikoan itakuwaje ...msaada wenu plz!!
   
 2. A

  Apex JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nenda bhana mikoani wapi ambapo hamna mabasi ya kwenda dar? Fanya mchakato maisha c mchezo kama kweli huko committed,gud luck!
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hivi hamna altenative nyingine au!!!
   
 4. A

  Apex JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka kama wamesema uwe pale ni vzr ukafika coz utapata sure na mambo yako.
   
 5. Autorun

  Autorun JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2008
  Messages: 556
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hslb taasisi dhaifu
   
 6. E

  Erick1 Member

  #6
  Aug 19, 2012
  Joined: Aug 15, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kaa wamesema tuende ila tutume picha ya mzazi tukiambatanisha na barua yenye jina kamili na namba ya 4m 4 na tutume kwenye anuani yao ya posta . . . mimi niliituma jana kwa EMS
   
Loading...