Hawa hawaliwi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,606
696,722
015a1d59fa94aef54766283d70e55c90.jpg
 
Ndugu yangu Mshana Jr.....una maarifa mengi sana juu ya masuala gizani.....lakini unatunyima elimu hiyo kwa uwasilishaji wako habari kana kwamba sote ni wabobezi wa mambo hayo.......

Jitahidi unapoweka picha au habari za hizi makitu.....uongezee na maelezo kidogo ili msomaji apate kujua unazungumzia nini....hata kama ni gizani kwenye nyanja ipi....!??

Thanks in advance
 
Kimsingi chochote chenye kasoro katika ulimwengu wa roho huhusishwa na nguvu za giza
Hivyo mnyama kama huyo huwezi kumtoa sadaka au kafara kwakuwa hajatimia...ina maana kile kisichotimia kimechukuliwa na nguvu nyingine Hivyo hafai
Na kama hafai kwa sadaka ama kafara basi hata kwa kula hafai
Ni kama ishu za chumaulete ukimstukia mtu wa namna hiyo mpe noti iliyopungua..yani unakata kipande kidogo unabaki nacho! Hatoipokea
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom