Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari wanajamii forum Nimewawekea baadhi yapicha za wale watangazaji nguli wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani(DW-Swahili) tuwaone kwa wale tusiowafahamu. Nawapenda sana watangazaji hawa.
Hapa chini ni majina ya watangazaji (Kutoka juu hadi chini).
1.Grace Kabogo(L) Carol Robin(R)
2.Lilian Mtono
3.Sekione Kitojo(L) Isaac Gamba(R)
4.Silvia Mwehozi
5.Mohamed Abdulrahman
6.Dumilkheir Hamidou
7.Idd Sessanga
8.Bruce Amani
9.Sudy Mnette