Hawa Ghasia rudisha ardhi ya wanakijiji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Ghasia rudisha ardhi ya wanakijiji

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyabhingi, Jul 7, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  Katika kijiji cha Izegelo, tarafa ya Mzenga, wilaya ya Kisarawe, waziri Hawa Ghasia kajinyakulia eka mia sita kwa bei isiyozidi shilingi laki tatu, alichukua advantage ya umasikini wa wananchi wa kijiji hicho na watanzania wengi waishio vijijini ambao kwao laki tatu ni hela nyingi sana...

  Wananchi hao wamejikuta wana upungufu wa ardhi baada ya kukuta kumbe laki tatu sio kitu kwa maisha ya sasa ya mfumuko wa bei.

  Kama haitoshi hata mwanae ambae jina lake halikuweza kupatikana mara moja kajitwalia eka hamsini kwa kutumia jina la mama. Vigogo wengine waliojitwalia ardhi kijijini hapo ni pamoja na mzee wa intelijensia IGP Said Mwema aliyejitwalia mamia ya eka kwa bei ya chee.
   
Loading...