Hawa Ghasia ni mchovu kuliko hata Adam Malima?

Mkuu JF sehemu ya porojo ebu tuambie huo uchovu wake.

Ritz aunt Ghasia atakuwa amechoka na Safari, si unajua Mtwara vijini kulivyo mbali!Safari hii hapo mlipo muweka lazima arudi Mtwara town.Unachezea mtandao wewe!
 
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia ndo yenye impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya Watanganyika. Kwenye utumishi huyu mama alishindwa kabisa!!!! Anachozidiwa huyu mama na Adam Malima ni kwamba Adam hajijui kabisaa siku zote kama ana dhamana kubwa aliyopewa na rais ya kuwatumikia Watanganyika yeye ni kuchekacheka tu akiwa ndani ya mjengo na kutoa majibu mepesi.

She look innocent.....aina Hizi za sura katika uongozi WA Nchi yetu ndio zinazotulostisha 4real. Mfano Pm yuko very innocent sidhani Kama tutafika kwa aina hii ya viongozi.......kwa maufisadi yalivyokithiri tunahitaji nyuso za mbuzi tu.....hakuna kucheka na kima.
 
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia ndo yenye impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya Watanganyika. Kwenye utumishi huyu mama alishindwa kabisa!!!! Anachozidiwa huyu mama na Adam Malima ni kwamba Adam hajijui kabisaa siku zote kama ana dhamana kubwa aliyopewa na rais ya kuwatumikia Watanganyika yeye ni kuchekacheka tu akiwa ndani ya mjengo na kutoa majibu mepesi.

Mkuu, siyo vizuri kuponda binadamu wenzako - mimi huyu mama niliwahi kumsikiliza vizuri wakati anaeleza mambo na mikakati aliyo fanya pale utumishi kulekibishwa mambo mengi yalikuwa yameparanganyika na kuyaweka sawa. Wewe unaweza kumuona ni mtu mkimya na hana makuu ukafikilini hajuhi lolote hiyo si kweli, nimfatiliaji mahili wa mambo. We unafikili kwa nini JK kamuweka wizara inayo husika na TAMISEMI ambako ndio jehanamu ya ufujaji wa pesa, kwa nini JK kawaweka manaibu mawaziri wawili wanawake kwenye wizara ya fedha; kwani wakina mama hawa wana nini cha ziada inapokuja katika mambo ya uaminifu -jibu unalo.

Hawa Ghasia alikuwa amefanikiwa kuiweka sawa wizara ya Utumishi, we sema yeye siyo mtu wa makeke na kutaka sifa - mimi naona wizara aliyo hamishiwa JK ajafanya kosa kapatia KWELI, nafikili ingekuwa vema kumpa pongezi na kumtakia kila la kheri katika ujenzi wake wa Taifa na siyo kuanza kumtupia madongo.
 
ndio maana tunasema tatizo ni JK mwenyewe kwani anateua watendaji wabovu na kuwapa wizara nyeti Hawa Ghasia,Shukuru kawambwa ,Malima kuwataja kwa uchache hamna kitu
 
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia ndo yenye impact ya moja kwa moja kwenye maisha ya Watanganyika. Kwenye utumishi huyu mama alishindwa kabisa!!!! Anachozidiwa huyu mama na Adam Malima ni kwamba Adam hajijui kabisaa siku zote kama ana dhamana kubwa aliyopewa na rais ya kuwatumikia Watanganyika yeye ni kuchekacheka tu akiwa ndani ya mjengo na kutoa majibu mepesi.

Another smearing campaign against moslem ministers. Mara utasikia cv ya Hussein Mwinyi feki, mara Nahodha, mara fulani. Ehhhh! Mbona hivi jamani?!!!!!! Msijali, karibu tutawakabidhi nchi yote muitawale nyie maana ndio hasa mnaojua kutawala.
 
Naungana na mleta mada.
Nikumbushe kuwa huyu mama ndiye aliweka mizengwe ili mkataba wa Prof.Baregu usiwe renewed UDSM mwaka 2010.
 
Jk hukumtendea haki
Agrey mwari kumweka na huyu mama ni kumdhalilisha kabisa. Hivi Agrey mwanri awe chini ya Hawa ghasia? Huu ni utani wa kijinga.
 
Jk hukumtendea haki
Agrey mwari kumweka na huyu mama ni kumdhalilisha kabisa. Hivi Agrey mwanri awe chini ya Hawa ghasia? Huu ni utani wa kijinga.

Mimi si mwana CCM...
Lakini nimekuwa nikimfuatilia huyu ndugu kwa kitambo sasa na kwa kweli nimeridhika na uwezo wake..
Kuna wakati alipewa nafasi ya Katibu Mwenezi wa Chama ghafla wakuu wa chama wakamuondoa!
Angalau namtambua kama mmoja wa Marxist ndani ya CCM.
Nashindwa kuelewa ni kwa sababu gani hawa wateuzi hawampi majukumu zaidi.
 
Hayo ya utendaji wa huyu mama siyajui, lakini mume wake namjua kama mhasibu kitaaluma na mwajiriwa wa serikali muda mrefu. hivi sasa ni mtumishi wa wizara ya mambo ya nje kituo chake cha kazi ni ubalozi wa Tanzania India, hajapelekwa na mkewe India ni sifa zake. Kwa wapenzi wa soka nadhani mtakuwa mnamkumbuka Bw, Yahaya Mhata alipata kuwa mwenyekiti wa kamati ya muda ya FAT, makamu wake akiwa Abdala majura Bulembo katibu mkuu Mwina Seifu Kaduguda.
Halafu huyu mama alivyo mafia kampeleka mume wake ubalozi india Kama accountant Huku akiwa anajua ni mlemavu wa mguu kwa maana nyingine ni chiba. Ili aweze kujirusha
 
kilaza tu huyo mama that wizara is very powerful kuongoza halmashauri zote tz si kazi ndogo mara mia angekuwa naibu ndo full minister.
 
Mama salma alikulia na kutunzwa na familia ya hawa ghasia.wamekuwa pamoja.wana undugu wa mbali kidogo lakini 1st lady ndo mpiga debe wake na hata afanye madudu gani msitegemee ataondolewa..
Afisa Mipango wa Wilaya ya NTWARA aliyeshiriki wizi wa hela nyingi za UNICEF wakati watoto wakiteketea kwa utapiamlo.
 
Hivi mwanry anatoka wap vile?hii issue ya udin na ukanda itakuja kuwacost pro cdm!mnauvaa mtego wa magamba kirahis sana,mwanry na ghasia wote magamba tu hawana jipya.
 
Matatizo makubwa ya hii wizara niya kimfumo zaidi ya waziri mwenyewe. bila shaka kuwa na serikali za majimbo ni dawa sahihi na turning pt ya haya matatizo kwasababu itapunguza mlundikano wa majukumu na maamuzi ya TAMISEMI. Wewe hebu fikiri nchi inazaidi ya wilaya 110, mikoa 24 na taasisi zake kedekede ila karibia maamuzi yote muhimu yafanyikie TAMISEMI Dar

Na suluhisho la ujumla wa matatizo haya ni M4C
 
Wengi wanachukia hijabu yake hamna lingine! Lete ushahidi wa uchovu wake! Mama ni msomi wa level ya masters na ni mchapakazi mahiri!

aa wapi hebu kumbuka kipindi kile jk antembelea kwenye wizara kama iliona maelezo yake ...mie pale ndio nilona hamna kitu kabisaa eti anwashitaki wasaidizi wake kwa jk yaani huyo hana tofauti na maghembe niliwahi kumsikia akisema eti yale magari makubwa yaliopo migodini hayawezi kuendeshwa na wtz alikuwa ameulizwa swali kwa nini wazungu ni wengi wanafanya kazi migodini .
 
Mama salma kikwete ni mtu wa lindi mjin naifaham had family yake na ghasia ni mtwara vijijin(naumbu) hawana undugu wowote achen upotoshaj the rest can be true
 
Hivi mwanry anatoka wap vile?hii issue ya udin na ukanda itakuja kuwacost pro cdm!mnauvaa mtego wa magamba kirahis sana,mwanry na ghasia wote magamba tu hawana jipya.

Mkuu,Mwanri anatoka wilaya ya Siha,Kilimanjaro.
Kumbuka kuwa hoja hapa ni uwezo wa mhusika,hatuzungumzii hata kidogo eneo analotoka mtu.
 
Back
Top Bottom