Hawa Ghasia ni mchovu kuliko hata Adam Malima?

Mkuu JF sehemu ya porojo ebu tuambie huo uchovu wake.
 
Mama salma alikulia na kutunzwa na familia ya hawa ghasia.wamekuwa pamoja.wana undugu wa mbali kidogo lakini 1st lady ndo mpiga debe wake na hata afanye madudu gani msitegemee ataondolewa..

Mkuu ebu tuambie hayo madudu aliyofanya zaidi ya hapo mkuu utakuwa unaleta udaku JF.
 
Kuna tatizo kubwa serikali hii na TAMISEMI, ile wizara ni kubwa zaidi ya zote na ina serikali zake yenyewe, sasa kuweka Ghasia pale ni another suicidal attempt kwa CCM

TAMISEMI kamwe haiwezi kuiinua CCM kwa njia zilizopo sasa, za kutumia propaganda, informants wa local governments na a weak system ya "mwenzetu"... Tamisemi ndiyo inayodefine utendaji wa serikali nje ya DAR

I think serikali ya CCM ni muhimu kuwa more strategic na kungamua kuhusu uzito wa TAMISEMI
 
Eti ni IT, mtu atakuwaje IT. Usimuhisishe Ghasia wa Mzumbe na huyu mama. After all kama mtumishi wa mzumbe alikua eligible kupata scholarship za utumishi.

Binafsi sijui utendaji wake, lakini katika kipindi chake utumishi wa umma umekosa msisimko, na kuplteza mvuto kwa watumishi. ikiwa ni pamoja kurudisha mambo ambayo mkapa alikua ameyaboresha kupitia miradi ya psrp. Hakuna reforms za maana zilizofanyika katika kipindi chake.
Leo nimeamini kweli wewe unatumia masaburi kufikiria IT ni (information Technolgy) nikasema ndiye aliyekuwa amtetea humu Pambaf ulizia na uk ni nini?
 
Huyu hawa ghasia ni bomu nafuu angepewa uwaziri mwanri kuwa waziri kuliko huyu ghasia kama lilivyo jina ni ghasia kweli.hana pr na personality katika maongezi na kweli utumishi alifanya alivyotaka yeye.tamisemi ni wizara nyeti lakini janga la taifa ana idharau.tamisemi ndio kuna walimu na manesi wengi aliokuwa anawadharau alipokuwa utumishi, labda ule usemi mchawi mpe mwana alee ndio kikwete kazingati kuwa anaweza.
 
kama vipi tufanye maandamano tushinikize atolewe kwenye hiyo wizara...apangiwe jinsia na watoto!
 
Kuna tatizo kubwa serikali hii na TAMISEMI, ile wizara ni kubwa zaidi ya zote na ina serikali zake yenyewe, sasa kuweka Ghasia pale ni another suicidal attempt kwa CCM

TAMISEMI kamwe haiwezi kuiinua CCM kwa njia zilizopo sasa, za kutumia propaganda, informants wa local governments na a weak system ya "mwenzetu"... Tamisemi ndiyo inayodefine utendaji wa serikali nje ya DAR

I think serikali ya CCM ni muhimu kuwa more strategic na kungamua kuhusu uzito wa TAMISEMI
Ni kweli licha ya umuhimu mkubwa wa wizara hii haijawahi pata waziri mbunifu,mchapakazi na mzalendo hasa! Tunapoona ujenzi holela ktk miji yetu,miundombinu mibovu ktk miji na vijiji vyetu,zahanati na shule mbovu zisizokua na vifaa zote hizi ni kazi za wizara hii! Mimi huwa nawaambia marafiki zangu kwamba miji yetu imejaa makelele kwasababu wizara hii imeshindwa kazi! Kulala na kupata usingizi ktk miji yetu imeanza kuwa tatizo kubwa.
 
Hawa ghasia ni dada wa salma k****te je ulikuwa hulijui hilo,halafu malima mbali na ukigogo wa baba yake lakini pia Di*i nayo imetumika

HAKUNA HOJA YENYE MASHIKO;

Mheshimiwa Ghasia kaongoza Wizara ya Utumishi kwa Miaka kadhaa, na amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kukabiliana na wafanyakazi hewa; ambapo wengi wako TAMISEMI; sasa amepelekwa hukohuko akamalize kazi hio pamoja na nyengine.

Mheshimiwa Ghasia ni Waziri Muandamizi, tena anajua analolifanya na kusimamia. Awe shemegi; hawara, au mtakavyosema; delivery yake haiwezi kuwa contested. Wale wenye issues walitajwa na akina Filikunjombe.

TATIZO KUBWA NINALOLIONA ni kama alivyosema Commonmwananchi 'Di*i' nayo imetumika. Sasa kama mtu atasakamwa kwa ajili ya hilo; nadhani sio sahihi.

INVISIBLE, uko wapi?????

Let us be rational, balanced, focused and constructive.
 
Ili TAMISEMI ifanikiwe inabidi kila Kanda kuwe (ZDD zamani walijulikana kama RDD)
1.Dar 1
2.Dodoma (Kati)
3.Arusha (Kaskazini)
4.Mbeya (Nyanda za juu)
5.Moro (Pwan)
6.Mwanza (Ziwa)
Hii itamsaidia Mh.Mwanri na Mh.Majaliwa kujipanga kwa kuwa na watu wanaofanya kazi Kikanda zaidi kwani UOZO mwingi unafanyika Wilayani,Miji,Manispaa na Majiji kutokana na Waheshimiwa hao wawili kuzunguka ki-RAT RACE mfano. Mwanri leo yupo Ludewa... Muleba...Rombo n.k Wanatafuna Pesa... Aaaaghhhh!!!
 
Ukweli nimetamani kukushushia matusi lakini busara yangu imenizuia. Hivi wewe kuwa afisa mipango wa wilaya inalingana na kuongoza wizara muhimu kama hiyo?
Mimi hiki kitu kilinishangaza sana. Kumteua Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI? My God. Hakuna wizara muhimu kama hii kwa huduma za serikali na wananchi. Kwa makosa ya kipumbavu kama haya ccm itaendelea tu kujichimbia kaburi. Hii ndio wizara inayounganisha wananchi na serikali. Hebu angalia Kenya wanavochukulia wizara hii kwa umakini mkubwa. Mtu anayeshikilia wizara hiyo ni mtu makini kwelikweli. Siyo mtu yeyote tu.

Kwa taarifa yako kule kenya hata kuteua tume lazima rais apendekeze majina halafu wachambuliwe na vyombo husika ikiwa ni pamija na interview na ikbidi kama ni suala nyet basi interview inakuwa televized live kwenye TV ya taifa!
Sasa hapa kwetu nikifananisha na wenzetu ntaka kulia yani acha tu....alamsik!
 
Mama huyu ana kiburi na kujiamiani sana kwa kuwa anajua analindwa na 1st lady!

Kumbuka aliwahi kuwaambia watumishi wote wa serikali ni vihiyo wakati watumishi wakidai maslahi bora ya kazi!

Hawa Ghasia anajua kuleta ghasia!
 
Au ulitaka kusema muislam kuliko malima ukaona utaonekana mdini so ukaamua kuondoa ukali wa maneno
 
Back
Top Bottom