HAWA GHASIA, live on tv

Mwanasazi

JF-Expert Member
Aug 5, 2012
239
55
mwangalieni anaongea kama vile anafundisha watoto wa shule ya msingi tena kayumba, kumbe anaongea na watu wazima
 
Nimejua majuju yamejaa kule pale aliposema cag anasema hajui pesa za umma ama lah
gafla anasema sisi tunaidaiwa na iptl niambieni pesa za umma ziko wapi nkasema
mama wamempuliza nini
 
Back
Top Bottom