Hawa Ghasia atukana wanafunzi vyuo vikuu Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Ghasia atukana wanafunzi vyuo vikuu Dodoma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Froida, Apr 18, 2011.

 1. F

  Froida JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Akiwa kwenye kipindi cha channel ten on monday pamoja na naibu mwanasheria mkuu George Masaja kwa pamoka wamesema wanafunzi wa vyuo vikuu Dodoma walienda bungeni kujadili Mswada na mawe mfukoni alipobanwa watoto waliopelekwa bila kula na kuzomea watu mwanasheria mkuu akasema hakuona wanazomea na wtoto ilikuwa haki yao kwenda kutoa maoni kwani hata Dodoma walikuwepo
  My take inakuwaje mwanasheria anatuhumu vyama vya siasa wakati yeye sio mwana siasa
  inakuwaje maelezo ya kutoa ukweli wa mswaada inakuwa platform ya kuishambulia chadema na wabunge wake
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwenye red hapo hilo limebakia tu kuwa midomoni lakini sio matendoni....ukitaka kujua fuatilia baada hapo wanaenda wapi

  Yuko wapi Chenge? Kigezo cha kuteuliwa kwao ni mrengo wa kisiasa na ndio maana ulimuona Mwanasheria Mkuu anatumika na Kikwete kushauri mambo ya chama kujivua gamba? Swali ni je angeweza kufanya kazi kama ile kwa uadilifu kwa vyama vya upinzani?

  Hawa ni porojo tu za kisiasa na hakuna kitu na inasikitisha kuzungumzia kuwa eti watoto wale wanahaki ya kuja kujadili mswaada? jamani kweli ndivyo ukweli ulivyo? Yaani kabisa waziri mzima unaongea kipuuzi namna hiyo utafikiri kwenye kiti kuna kitu kimekubana ili uzungumze upupu
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Mwanasheria anadai eti watoto wana haki ya kutoa maoni yao juu ya katiba,najiuliza kama ndivyo mbona kwenye kupiga kura kuchagua viongozi watoto hawapewi hyo haki ya kutoa mawazo yao kwa kupiga kura kwa kisingzio eti hawajafikisha umri wa mtu mzima(miaka18)...niwaulize wana ccm ,hapa tatizo ni sheria ama ni wanaotunga sheria ama ni wale wanaoitafsiri sheria ama mtoto ana difinisheni ngapi hapa Tanzania???
   
 4. k

  kalechee Member

  #4
  Apr 18, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wat do u xpect 2 come out of ghasia?ts ghasia 2
   
 5. b

  bnhai JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2011
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Hivi hapo tusi liko wapi? Nilidhani unaainisha tusi kisha ndio unajenga hoja. Haya majungu na kujenga chuki havina faida katika nchi hii. Nchi ni yetu sote sasa chuki za nini?
   
 6. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we una matatizo ya akili kwani kuwazuia wanafunzi wa dodoma ndiyo kuishambulia CHADEMA? hao watoto unaosema walipelekwa bila kula kwani siku ya uzinduzi wa muswada pale nkuruma kuliandaliwa chakula ?we vipi ? hivi kweli CHADEMA mmeishiwa HOJA siku hizi
   
 7. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi siwezi kuwashangaa watu kama hakina Ghasia,ukisikia mawaziri 'mizigo na janga la taifa' ndio hawa sasa ,nasema ni janga la taifa kwa sababu kwanza walitumia pesa za baba zetu wakulima masikini enzi zile za mwalimu kusoma bure lakini baadala ya kuonesha moyo wa ufanisi katika kazi zao ndiyo kabisaa wanatupeleta kusikoeleweka viongozi wasio na hoja za kujenga nchi bali kulinda maslahi ya kiongozi wao na chama chao ni nyoka hawa,pamoja na kujitangazia kujivua gamba bado nyoka ni yule yule tena wataaramu wa mambo ya nyoka na jamii zake wanakwambia kuwa nyoka anayetoka kujivua ghamba usiombe kukutana naye maana ndio sumu yake inakuwa imeongezeka nguvu mar dufu.So ndugu wananchi watch out. ndio hao hao ,akina WA asira,akina aungulumapo!,jumanne majembe,n.k na ili ujue kuwa mawaziri hawa hakuna kitu fuatilia and prove me wrong kama utakuta kuna ufanisi katika wizara walizokuwemo kwa kipindi cha hawamu ya kwanza wakiongozwa na bosi wao huyu huyu ambaye amewabeba tena.Mfano Waziri Wa asira yeye hajui kabisa kutofautisha nini maana peoples power ya cdm na kuiondoa madarakani serikali,yeye kwake ni uhahini,ya Ghasia mmeyaona wenyewe kwenye chanel 10,Majembe naye huyo ndie aliyeniacha hoi kufuta mitihani ya kidato cha pili,matokeo yake kila mtu mmeyashuhudia matokeo ya kidato cha nne yalitoka mapema mwaka huu ambayo ndio matunda ya kufuta mitihani ya form two ziro kupita maelezo sasa janga la kitaifa ni nani hapa matokeo ya waliofeli au waziri wa wizara husika.Mwingine naye mmemwona juzi wakati ndio kwanza mchakato wa kudai katiba mpya yeye alishawashukia wote wanaodai katiba kuwa ni wapita njia barabarani yaani akimaanisha wazururaji sasa naye leo ajikuta yuko kwenye mchakato huo akiongozwa na bosi wake .This is such a typical of Tanzania government leaders we have currently,no wonder that, one is probably thumbing up upon their daily performences.wretch!!!!
   
 8. b

  bnhai JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Yaelekea bado unajifunza kuandika. Angalia matumizi ya h na R/L. Kisha huna sababu ya kutumia kingereza kama hakipandi vyema. Halafu angalia nukta, mkato na weka paragraph ili tufuatilie unachoandika. Maana mstari wa kwanza, unaonyesha wewe ni nani!
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Waliokuja Nkrumah walikuja at own risk, hakuletwa mtu pale. Wale watoto wa Dodoma sidhani kama walienda pale kwa utashi wao...
   
 10. B

  Bendera ya bati Senior Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa ulitaka mimi niwe wewe?Mimi ntaendelea kuwa mimi,alafu unapokuja na hoja ambazo ni very minor eti unakosoa uandishi wangu inaonesha kuwa wewe pia na u-prof wako wa lugha bado ni mzigo tu wa taifa maana ungelitakia mema taifa hili sidhani kama lugha au uandishi ni hoja ya msingi.Kama huna cha ku-quote si unakaa kimya?kwani ni wapi hukuelewa?KIBWENGO WEWE!
   
 11. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huwa namchek hawa gasia anavyobana lips; sijui wanaokubali kunong'onezwa naye wanajisikiaje kwenye pua zao.
   
 12. j

  jzm-teak JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2014
  Joined: Jun 23, 2013
  Messages: 1,629
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kumbe ni kawaida ya huyu mama kuwatukana na kuwabeza wasomi, nimeiona leo bungeni, eti anatoa maoni ya kutunga katiba mpya! miaka hamsini ijayo kiongozi asiwe na elimu? yaani sikumwelewa!
   
Loading...