Hawa Funds for Africa ni matapeli?

Skyblue

Senior Member
Jan 3, 2014
195
54
Jamani habarini , Naomba kwaanaewajua vizuri hawa Funds for Africa, kuna Post yao ya field officer niliombaga sasa wamenijibu kwa kunitumia attached form inayonitaka nijaze hiyo moja, lakini pili wamenitaka nifanye kitu kinaitwa Psychometric Assessment tests ili Report yake niweze attached pia maana pana cheti ukipiga hii...na score marks ila sasa wanahitaji pesa wameweka viwango kwa hii field officer dollar 50.

Je, ni kweli na kwanini wahitaji pesa. Msaada kwa mwenye kuwafahamu hawa jamaa wanaoitwa Funds for Africa.
 
Wanakuzingua tuu ni matapeli kwanini ulipe ili upate kazi wewe jiulize, na kama hiyo test inabidi wafanye wenyewe
 
jnMIxDBr75Jv-rZUsqFLj5cll-cT3RqkjyKiUttFGCm-ccuztIV0Ma4_5p1SvMFsVXyoyTgffnXi2pX3FWt-Px-HCtiiv0mdLmHc1e4qEBzhR3crDDh6HxCUvGsH1hyXHvZSqwsvi8xgDa2B4PK9-JU1ffPXTKP-ebUygUjGPILiuQL0kg_JsjHQKbmM6fGHzpKfWYtkY1g_IabJsw=s0-d-e1-ft

Congratulations ***********

We are writing to inform you that after reviewing your resumes, you have been shortlisted for the above reference in our organization.
This position is offered after successfully completing a two staged Interview, satisfactory reference and pre - employment checks, then your full time appointment will be confirmed.
The first stage interview process involves the submission of NEW STAFF ENTRY ASSESSMENT FORM (attached), Psychometric Assessment Report (PAR) /Certificate approved and evaluated by accredited international invigilator.
We recommend to go ahead and obtain your certification from but not limited to the below accredited International Psychometric Test Providers/Invigilators due to reliability and fastness of their services.
  1. Elite International Consultancy: Elites International Consultancy – We Serve with Trust
  2. Durban Psychometric Centre Durban PsychometriCentre – Discover Your Potential
Attached , is the NEW STAFF ENTRY ASSESSMENT FORM, fill it accurately and honestly and return together with the PAR / certificate on or before end of 16th October 2021.
We are all looking forward to working with you, and hope you will soon feel part of the team.

Mr. Michael Franklin
Human Resources Manager
Tel : +1 (45)465 554-2
E-mail : hr@hjhi.org
345 Rock Street, San Francisco, California

https://mail.google.com/mail/u/0/s/...0.1&disp=attd&realattid=f_kupxpfs60&safe=1&zw
HJHI - NEW STAFF ENTRY ASSESSMENT FORM.docx
 
Jamani habarini , Naomba kwaanaewajua vizuri hawa Funds for Africa, kuna Post yao ya field officer niliombaga sasa wamenijibu kwa kunitumia attached form inayonitaka nijaze hiyo moja, lakini pili wamenitaka nifanye kitu kinaitwa Psychometric Assessment tests ili Report yake niweze attached pia maana pana cheti ukipiga hii...na score marks ila sasa wanahitaji pesa wameweka viwango kwa hii field officer dollar 50.

Je, ni kweli na kwanini wahitaji pesa. Msaada kwa mwenye kuwafahamu hawa jamaa wanaoitwa Funds for Africa.
Unakaribia kulizwa na utalia kweri kwerii

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Jamani habarini , Naomba kwaanaewajua vizuri hawa Funds for Africa, kuna Post yao ya field officer niliombaga sasa wamenijibu kwa kunitumia attached form inayonitaka nijaze hiyo moja, lakini pili wamenitaka nifanye kitu kinaitwa Psychometric Assessment tests ili Report yake niweze attached pia maana pana cheti ukipiga hii...na score marks ila sasa wanahitaji pesa wameweka viwango kwa hii field officer dollar 50.

Je, ni kweli na kwanini wahitaji pesa. Msaada kwa mwenye kuwafahamu hawa jamaa wanaoitwa Funds for Africa.
Utapigwa mchana ujute

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Nimetumiwa hii. Sasa nikisoma msg ya jamaa hapo juu ya HJHI naona kama zinafanana na hii. Mpaka hapo nna mashaka na Fund for Africa.
Screenshot_20211205-124357.jpg
 
Jamani habarini , Naomba kwaanaewajua vizuri hawa Funds for Africa, kuna Post yao ya field officer niliombaga sasa wamenijibu kwa kunitumia attached form inayonitaka nijaze hiyo moja, lakini pili wamenitaka nifanye kitu kinaitwa Psychometric Assessment tests ili Report yake niweze attached pia maana pana cheti ukipiga hii...na score marks ila sasa wanahitaji pesa wameweka viwango kwa hii field officer dollar 50.

Je, ni kweli na kwanini wahitaji pesa. Msaada kwa mwenye kuwafahamu hawa jamaa wanaoitwa Funds for Africa.
Achana nao
 
Back
Top Bottom