Hawa dreamwork pictures ni hatari sana

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,432
105,851
Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media.

Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya filamu (Hollywood ) Ushindani mkubwa upo kwa Marvels Cinematic Universe (MCU) na DCU. Ila kwa upande wa Animation huko kuna Disney Animation studios ikichuana na watengenezaji wengine kama Pixal Animation,Dreamwork Pictures etc...

Upande wangu mimi nawakubali zaidi Dreamwork Pictures kuliko Disney coz naona Animation zao zina content za kitoto.
Baadhi ya animation za disney ni kama Moana,Frozen,Ralph Break internet, Zootopia,Lion king, Cinderela etc etc (Wameanza kutengeneza Anime movies toka miaka 1940s)

Kama umeangalia baadhi ya anime za Dreamwork utakubaliana nami kua hawa jamaa wako vizuri,kuanzia stori,mpaka mwonekano.
Mfano ukiangalia Puss in Boots yaani utaipenda Antonio "BadAss" Banderas alivaa uhusika vizuri sana na kuipendezesha...Yaani haichoshi kutizama hafu inachekesha hatari.

Au uangalie Boss Baby hii lazima uipende ukiona vituko vya Boss mtoto aliyetumwa kutoka mbinguni..Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.

Baadhi ya muvi zao bira ni kama
  • Shrek zote
  • Penguine of Madagascar
  • Boss baby
  • The Croods (may 5 mwaka kesho kuna mwendelezo )
  • How to Train Your Dragon zote 3
  • Kung fu Panda zote
  • Chiken Run
  • Nk nk
Ila hakuna Animation niliyeona nikacheka sana kama Rango.. yani John Depp kaipatia sana kucheza. Hasa ukiangalia zile scene za jangwani na Bar. Yaani kanachekesha haka kinyonga. Mwenye Animation nzuri aniambie nizicheki Muvi zimenichosha!
 
AntzOctober 2, 1998DreamWorks PicturesPacific Data Images$42–60 million$171 million93%72
2The Prince of EgyptDecember 18, 1998DWA Glendale$70 million$218 million79%64
3The Road to El DoradoMarch 31, 2000$95 million$76 million48%51
4Chicken Run[R]June 23, 2000DreamWorks Pictures
Pathé
Aardman Animations
Aardman Animations
Framestore
$45 million$225 million97%88
5ShrekMay 18, 2001DreamWorks PicturesPacific Data Images$60 million$484 million88%84
6Spirit: Stallion of the CimarronMay 24, 2002DWA Glendale$80 million$123 million70%52
7Sinbad: Legend of the Seven SeasJuly 2, 2003$60 million$81 million45%48
8Shrek 2May 19, 2004Pacific Data Images$150 million$920 million89%75
9Shark TaleOctober 1, 2004DWA Glendale$75 million$367 million35%48
10MadagascarMay 27, 2005Pacific Data Images$533 million54%57
11Wallace & Gromit: The Curse of the Were-Rabbit[R]October 7, 2005DreamWorks Pictures
Aardman Animations
Aardman Animations
Moving Picture Company
$30 million$192 million95%87
12Over the HedgeMay 19, 2006Paramount PicturesDWA Glendale$80 million$336 million75%67
13Flushed AwayNovember 3, 2006Paramount Pictures
Aardman Animations
Aardman Animations
DWA Glendale
$149 million$178 million73%74
14Shrek the ThirdMay 18, 2007Paramount PicturesPacific Data Images$160 million$799 million41%58
15Bee MovieNovember 2, 2007DWA Glendale$150 million$287 million50%54
16Kung Fu PandaJune 6, 2008$130 million$632 million87%73
17Madagascar: Escape 2 AfricaNovember 7, 2008Pacific Data Images$150 million$604 million63%61
18Monsters vs. AliensMarch 27, 2009DWA Glendale$175 million$382 million73%56
19How to Train Your DragonMarch 26, 2010$165 million$495 million99%74
20Shrek Forever AfterMay 21, 2010$753 million58%58
21MegamindNovember 5, 2010Pacific Data Images$130 million$322 million72%63
22Kung Fu Panda 2May 26, 2011DWA Glendale$150 million$665 million81%67
23Puss in BootsOctober 28, 2011DWA Glendale
DWA India
$130 million$555 million85%65
24Madagascar 3: Europe's Most WantedJune 8, 2012Pacific Data Images$145 million$747 million79%60
25Rise of the GuardiansNovember 21, 2012DWA Glendale$307 million74%57
26The CroodsMarch 22, 201320th Century Fox$135 million$587 million71%55
27TurboJuly 17, 2013$127 million$283 million67%58
28Mr. Peabody & ShermanMarch 7, 201420th Century Fox
Bullwinkle Studios
Pacific Data Images$145 million$275 million80%59
29How to Train Your Dragon 2June 13, 201420th Century FoxDWA Glendale$621 million92%76
30Penguins of MadagascarNovember 26, 2014Pacific Data Images
DWA Glendale
DWA India
$132 million$373 million73%53
31HomeMarch 27, 2015DWA Glendale$135 million$386 million50%55
32Kung Fu Panda 3January 29, 201620th Century Fox
Oriental DreamWorks (Pearl Studio)
$145 million$521 million87%66
33TrollsNovember 4, 201620th Century Fox$125 million$346 million75%56
34The Boss BabyMarch 31, 2017$528 million52%50
35Captain Underpants: The First Epic MovieJune 2, 201720th Century Fox
Scholastic
Mikros Image
Technicolor Animation Productions
$38 million$125 million88%69
36How to Train Your Dragon: The Hidden WorldFebruary 22, 2019Universal PicturesDWA Glendale$129 million$519 million91%71
37Abominab
 
Dreamworks wapo vizur sana,pixal sometimes wanashirikiana na disney.... Hapo kali ni rango, Mr peabody N sherman, shrek 1 na 2,Boss baby, Megamind, Kung Fu Panda zote Na how to train your dragons ya kwanza... Nimeangalia hpo karibu aninations zote ila ninachoweza kusema ni kuwa animation za movie au SEQUELS zao huwa wanapatia ya kwanza na ya pili ila huwa Kuanzia ya tatu unakuta story mbovu(au story inakosa mwendelezo mzuri)
 
Shrek kumbe ni ya muda mrefu hv, lkn ckosi hamu ya kuirudia tena na tena.

tofauti a animation, me naipenda Warner Bros kwani movie zao zote nazipenda.
 
jay311,
Yeah Pixar hua wanashirikiana na Disney ndio maana zinakua zinaingiza pesa mingi
 
Kwa upande wa Rango jamaa wanajua hatari Lizard kachezeshwa kama uhalisia vile kumbe hakuna kiumbe kama hicho dunian.
Kibongo bongo ushindani kwenye tasnia ya Muziki kuna D na Harmonize (Alikiba thrown away) Kwenye tasnia ya Vyombo vya habari kuna Wasafi Media na Clouds media.

Ila huko Dunia kwenye tasnia ya Ya filamu (Hollywood ) Ushindani mkubwa upo kwa Marvels Cinematic Universe (MCU) na DCU. Ila kwa upande wa Animation huko kuna Disney Animation studios ikichuana na watengenezaji wengine kama Pixal Animation,Dreamwork Pictures etc...

Upande wangu mimi nawakubali zaidi Dreamwork Pictures kuliko Disney coz naona Animation zao zina content za kitoto.
Baadhi ya animation za disney ni kama Moana,Frozen,Ralph Break internet, Zootopia,Lion king, Cinderela etc etc (Wameanza kutengeneza Anime movies toka miaka 1940s)

Kama umeangalia baadhi ya anime za Dreamwork utakubaliana nami kua hawa jamaa wako vizuri,kuanzia stori,mpaka mwonekano.
Mfano ukiangalia Puss in Boots yaani utaipenda Antonio "BadAss" Banderas alivaa uhusika vizuri sana na kuipendezesha...Yaani haichoshi kutizama hafu inachekesha hatari.

Au uangalie Boss Baby hii lazima uipende ukiona vituko vya Boss mtoto aliyetumwa kutoka mbinguni..Kuna Penguine of Madagascar ukutane na Baron Cohen kakuwekea sauti ya King Julián.

Baadhi ya muvi zao bira ni kama
  • Shrek zote
  • Penguine of Madagascar
  • Boss baby
  • The Croods (may 5 mwaka kesho kuna mwendelezo )
  • How to Train Your Dragon zote 3
  • Kung fu Panda zote
  • Chiken Run
  • Nk nk
Ila hakuna Animation niliyeona nikacheka sana kama Rango.. yani John Depp kaipatia sana kucheza. Hasa ukiangalia zile scene za jangwani na Bar. Yaani kanachekesha haka kinyonga. Mwenye Animation nzuri aniambie nizicheki Muvi zimenichosha!
 
Jamaa wanajua tuache utani imagine mtu anatengeneza story na ideal yote ile ya kuwachezesha, acha kabisa. ile kazi yoote imesimama kamili kamili ,
Yaani nilicheka mnoo kanavyoongea na matendo yake.. Kama pale kako Bar afu yule mbabe akatokea.. kalijikunja na lile shati lake
 
...
FB_IMG_1568117479817.jpeg
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom