Hawa continental ubora safi wa picha?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Nimeenda dukani kwa ndugu yangu nikakuta anaangalia tv na anatumia kisimbusi cha continental cha dish sikupenda kumuuliza chochote
Humu najua mpo watumiaji wa dish la continental vp ubora wa kile kisimbusi hususan ubora wa picha?
Jee hakisumbui malipo jee?
 
Picha nzuri, Malipo unalipia kama Ving'amuzi vingine tatizo ni Satellite wanayochukulia Matangazo unaweza kaa week 2 ramani hazisomi yani ni full chenga!!!
 
Back
Top Bottom