Hawa Chanel Ten vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Chanel Ten vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbalinga, Jul 27, 2011.

 1. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mimi huwa ni mpenzi sana wa kipindi cha mapitio ya magazeti Chennel Ten. Leo nimeshangwazwa sana hawakusoma kurasa za mbele sa gazeti la Tanzania Daima, na badala yake wakasoma kurasa za nyuma tu. Je nao ni wana magamba kwani habari iliyochukua uzito wa juu inasema "CCM yapasuka" Wana JF nielezeni ili nianze kuepuka hii TV
   
 2. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ni tatizo..isitoshe magazeti yako mtaani...kwa nini uulizie tu hilo la tanzania daima?
   
 3. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hili nalo neno! Mmojawapo wa wamiliki wa channel 10 ni Rostitamu.
   
 4. k

  kibajaj Senior Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata aliyekuwa anasoma ni binadamu labda alisahau mbona walishasoma tittle nyingine senstive zaidi ya hiyo!
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kwani imeandikwa wapi Kila habari ya Tanzania Daima itangazwe kwenye Chanel Ten? Kama unapenda hizo habari si ukanunue mtaani na utakuwa umewachangia CDM
   
 6. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Zaidi ya Hamza Kasongo Hours, Channel ten on Monday, siangalii vipindi vingine. Kwanza wapo wapo tu they are disorgnised.
   
 7. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Kama ni kununua mtaani mbona mengine wanayosoma. Basi wangeacha kutusomea yote ili tuwe tunanunua mtaani.

  Halafu MKIRUA jaribu siku nyingine kuangalia StarTV huwa hawachakachui habari za magazeti
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
  Nunua nakala yako kwa sh 500 tu usipende dezo
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,700
  Trophy Points: 280
  au anunue Uhuru, Jamba leo, Hoja, Changamoto, Tazama, Habari leo,Kiu, Ijumaa achangie CCMagamba
   
 10. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona hiyo ndo kawaida yao!!!! sio wao tu hata TBC wakiona front page ina hoja nzito bas hawasomi....
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Huyu nae badala ya kujibu kilichoulizwa anarukia mambo mengine!!
   
 12. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu huku mie mbavu sina hapo kwenye red
   
 13. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tehetehe zaidi ya hivyo ulivyovitaja nami naongeza kimoja cha thamthiliya ya daniela
   
 14. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Bado kina mvuto manake toka aondoke Jenerali sijakiangalia tena..
   
 15. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  sio channel tu,hata mlimani tv wameanza kuboa
   
 16. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Wewe cklza radio maria 2:30 asubuhi hawasomemi vichwa vya hbr tu wanasoma hadi hbr zenyewe kwa kina uktoka hapo hauna haja ya kwenda kununua gazeti.
   
Loading...