Hawa C.C.M Vipi?

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Hi wana jf a
leo nimeshangazwa tena na hawa ccm wako huku manzese,
achana na hali mbaya na matatizo yanayoikumba nchi hii yenye herufi "T"wao wanawachukua watoto wa primary wanawacremisha mashairi na ngonjera zenye kuiponda Chadema,
wamejaza wasaliti wa nchi hii (wanachama) tele wanaingia kwa magari na uniform zao du wanakera.
Ok huenda haya ndo wanayoyaweza.
Mungu mhurumie mtanzania asie na hatia.
 
Lakini hawa jamaa sijui wakoje coz nashindwa kuwaita wajinga kwani ni wazazi wetu na viongozi wetu.
Lakini mmmmmh
 
Du lakini ukisema ni wapuuzi maana yake tunaongozwa na wapuu so na nchi ni ya kipuuzi basi na mambo ya kipuuzi na wananch ni wapuuzi pia?
 
Inawezekana lakini nakumbukathata mimi kwetu tunachukia ccm tangu mdogo ila shule ya msingi nilikuwa naimbishwa zile nyimbo za ccm si unajua wameshika makali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom