Hawa akina Ole Sabaya na Kakoko ndio wanachafua Legacy ya hayati Magufuli

Kiukweli Ole sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua serikali ya awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao.

Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole sabaya aliaminika kama kijana mzalendo na mchapakazi kumbe ni kama mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Kwa namna hayati Magufuli alivyokuwa mfuatiliaji hadi kwenye mawasiliano mfano Nape na Makamba, sikutegemea dogo Ole sabaya apete bila kushtukiwa hadi Magufuli amekufa.

Jumaa kareem!

cc: Aloyce Nyanda aka Mtozi
johnthebaptist stop nonsense. Walifaya haya kwa maelekezo ya Jiwe au wakijua hawataguswa kwa vile Jiwe alikuwa kipenzi chao. Acha utoto wewe , unajua fika kuwa hata wewe ulikuwa na nguvu ya kusema kwa vile Jiwe alisimamia udhalimu wa CCM. kama ali sanction kuiba kura by 100%, na haya aliyasimamia yeye.
 
Mwendazake hakuipenda Tanzania kwa vile yeye ni Mrundi. Alitaka aiharibu iwe nchi ya chuki kama Burundi. Mwendazake alikuwa kichaa, mwongo, mwizi, muuaji, mwenye chuki, malaya na mchawi
Alimfira mamako ndiyo maana unafahamu utaifa wake.
 
Kiukweli Ole sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua serikali ya awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao.

Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole sabaya aliaminika kama kijana mzalendo na mchapakazi kumbe ni kama mbwa mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo.

Kwa namna hayati Magufuli alivyokuwa mfuatiliaji hadi kwenye mawasiliano mfano Nape na Makamba, sikutegemea dogo Ole sabaya apete bila kushtukiwa hadi Magufuli amekufa.

Jumaa kareem!

cc: Aloyce Nyanda aka Mtozi
Mliambiwa legacy hailazimishwi, mkakazana kujaribu kulinda "legacy" ya mwendazake. Sabaya aliijengaje CCM Hai kwa kutumia mabavu kupata pesa kwa nguvu na unyang'anyi kwa kutumia silaha. Huyo uliyemuona kama mfuatiliaji wa mawasiliano ya watu, alikua na watu wake wa kuwafuatilia kwa malengo ya kulinda "legacy" yake. Hawa kina Sabaya hakuhitaji kuwafuatilia kwa sababu kashifa zao zilishawekwa wazi lakini yeye hakutaka kusikia lolote linalowahusu wapendwa wake. Kila aliyependwa na shujaa alionekana yuko vizuri kwa sababu shujaa alionekana kama malaika.
 
Kwa mnao ishi huko mkoani, hakikisheni huyu takataka anawajibishwa. Wekeni dau kwenye jina lake kwa atakae muona ampe kichapo cha nyoka au kenge.

Asulubiwe mbwa huyu hakuna haja ya kumuonea huruma.
 
Wanachafua au ndo Legacy yenyewe hawa?
It needs alot of information to come about that conclusion. Kuna upande JPM had a total blind eye..upande huo ni wa wapinzani wa CCM. Mtu aliyehangaika nao, alimchukulia kama ni hero. Wenye akili hawakutenda criminal offences. Wenye akili ndogo kama Sabaya na Makonda ndio walikuwa wanahangaika kuibia mahotel na wafanya biashara kwa kigezo cha kuwa wao ni watu wakubwa sana. Hili anguko ni la kujitakia. Makonda na ile team yake iliyovamia Clouds ingeishia kama Sabaya
 
Back
Top Bottom