Hawa Airtel vp jaman? Au ni mimi tu?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Jamani natumia bundle ya internet ya airtel kwenye simu yangu. Lakini kwa siku kadhaa sasa kila nikijaribu ku download kitu chochote inafail...naomba kufahamu ni mimi tu au nawewe umekutwa na hiyo hali? Naomba jibu kabla sijakwenda ofisini kwao ku lalamika..,
 
Huku kwetu Longido Arusha hatupati kabisa huduma ya internet yapata juma la pili sasa!vifurushi vya internet tulivyo nunua hatuja vitumia.Nimeisha wapigia simu watu wa huduma kwa wateja kuwajulisha lakini ni ahadi tu zisizo tekelezeka
 
Back
Top Bottom