Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?

Seems like hii ni zaidi ya mabeberu.

Naona kama ni kundi la mashetani lenye malengo ya kuiangusha dunia.
Wewe ukiitazama dunia inaanguka au inazidi kusonga mbele kimaendeleo? Unafahamu hata watu kuzaliana na kujazana kwenye kila ya dunia kama kumbikumbi ni matokeo ya maendeleo ya sekta ya afya yaliochangiwa pakubwa na hao unaowaita mabeberu, freemasons, illuminati na ujinga mwingine?!
 
Wewe unayo matatizo makubwa, copy paste ni mbaya sana kwani unaweza kukopi na ukashindwa kukitetea na ukashikwa udanganyifu.

Angalia hapo mwisho wa hiyo secret Covenant , Author :-UNKNOWN, Adherents:- blank.

Sasa ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza kuikubali hiyo document??!!, inawezekana imeandikwa na mwendawazimu.
Kuna vichwa panzi wengi duniani kote na wanakubali aina hizi za takata!
Huyu mleta uzi ngumbaru anaamini hata dunia ni flat na sio duara!
 
"We will control all aspects of their lives and tell them what to think and how".Hivi mwanadamu anafanya kazi kama mashine au hapa umeelewa vipi wewe?Yani unasema kuna mtu anaweza control namna ambavyo utafikiri kichwani mwako na iwe vipi?Hivi hizi movie unazipata wapi na mimi niwe natizama kuburudisha kichwa.

"We will always hide the divine truth from them, that we are all one.
This they must never know". Hide divine truth!? like how?? kitu nachojua, kitu divine essence yake ni heaven na Mungu pekee ndio anaweza reveal au kuficha hiki kinachoitwa divine truth.

Mwisho kabisa,hii document yako uliyotoa kama reference hujaona kama ina mapungufu kibao,hakuna signature yoyote,authorship yake bado nayo wenge(the author is unknown person),title yake wenge(document haiko titled na kitu kama new world order kama unavyodai),the document is not sealed.Kwahiyo wewe kazi yako ni kuokota tu habari na kuzileta hapa bila kufanya chochote.

Trust me,hii forum ingekuwa yangu ningesha kupiga ban mapema lakini kwa sababu si yangu and I do respect freedom of expression basi uko huru kuparade upupu wako kadri unavyoweza.
Huyu alitakiwa aondolewe kabisa hapa jukwaani apelekewe kwenye hospitali za magonjwa ya akili. He's not right upstairs.
 
Watuue kwa money wakati tunaongezeka kama kumbikumbi kila siku, wewe kilaza kweli.
Aisee mimi kwenye la kupunguza watu naunga mkono. Huku Afrika tunazaliana ovyo kama kumbikumbi hasa baadhi ya makabila kama akina ngosha, waha, wapemba na the likes. Tunazidisha generational poverty tu. Li-mtu linaona fahari kuzaa mitoto wakati hana uwezo wa kuwapa elimu na mahitaji mengine ya msingi.
 
Tunazaa kama tupo kwenye mashindano!
Kuna familia baba ni kijana dereva bodaboda na mama anakaanga mihogo ina watoto wanne!
Kuna familia ni wakulima wa jimbo la mkono tu ila wana watoto 7 ambao wote ni tegemezi!
 
Aisee mimi kwenye la kupunguza watu naunga mkono. Huku Afrika tunazaliana ovyo kama kumbikumbi hasa baadhi ya makabila kama akina ngosha, waha, wapemba na the likes. Tunazidisha generational poverty tu. Li-mtu linaona fahari kuzaa mitoto wakati hana uwezo wa kuwapa elimu na mahitaji mengine ya msingi.
Inasikitisha kuona watoto wanaenda shule na kaptula zilizotoboka makalioni na mashati meupe yaligeuka kuwa ya hudhurungi na bado wanaishia kuwa wamachinga na bodaboda. Lazima tudhibiti generational poverty kwa kuzingatia uzazi wa mpango, sio kufyatua tu kisa elimu bure.
 
You are too foolish,umedanganywa watu wanazaliana sana Africa na wewe kwa ujinga ulio-nao umekubali.Tembea kutoka Dar-Morogoro,it's empty.Chalinze-Segera, empty.Manyoni-Tabora-Kigoma,empty.Dar-Lindi-Mtwara,empty. Morogoro -Dodoma-Singida-Mwanza,empty.Mwanza-Bukoba,empty;Chato-Bukoba,empty;Kigoma-Bukoba,empty. empty,etc.etc.Kwa taarifa yako in the most 10 densely populated countries in the World,only Mauritius is in the list.Sasa waanzie huko na wakija huku waanze na wewe.Watuache Africa,hatuko wengi ku-deserve genocide.

Halafuu,nani kawapa authority ya kuua
watu,only God has that authority.Mungu ameiumba dunia iwe self sustaining,so any
human attempt to do that is satanic.
 
You are too foolish,umedanganywa watu wanazaliana sana Africa na wewe kwa ujinga ulio-nao umekubali.Tembea kutoka Dar-Morogoro,it's empty.Chalinze-Segera, empty.Manyoni-Tabora-Kigoma,empty.Dar-Lindi-Mtwara,empty. Morogoro -Dodoma-Singida-Mwanza,empty.Mwanza-Kigoma empty,etc.etc.Kwa taarifa yako Ulaya,nchi kama Britain,Germany ni overpopulated compared to Africa.Sasa waanzie huko na wakija huku waanze na wewe.

Halafuu,nani kawapa authority ya kuua
watu,only God has that authority.Mungu ameiumba dunia owe self sustaining,any
human to do that is satanic.
You see how coward you are!
So, kwako it is a matter of filling the said empty lands? Huoni ishu ya kuwa na watu wengi ambao hawazalishi, hawana ujuzi na mizigo kwa taifa. Your dull mind, religiously brainwashed can't see this gigantic problem la watu mizigo kwa taifa.
Zaa watoto hata 50, but the question is, do you have resources and what it takes to make them global citizen? Usiniambie upuuzi wa kwamba kila mtu ameandikwa rizki yake. Only terminal imbecile, religious fanatics approve this senseless concept.
 
This is even more stupid!Eti Global citizenship,idioms za kiwizi wizi kabisa.Na wewe kama parot ume-capture tu,bila kujua siri iliyopo nyuma ya hiyo idiom!And then you do not know History,you need a basic History class.Unawakumbuka akina Speak,Livingston,Columbus na wengine?Nani aliwaita huku.Kwani tuliwaambia tuna shida.Shida zao ndizo zilizo waleta huku.No African went to Europe,no watuache na Africa yetu wakae kwao.

Aisee,sikuelewi kabisa,so you believe Africans should be culled like cattle,na unaniona mimi ninayepinga unyama huo I am a religious fanatic!Kweli wanadamu tumekuwa waovu beyond words.Okay,nadhani waanze na wewe.
 
This is even more stupid!You do not know History,you need a basic History class.Hata hivyoo,watuache na Africa yetu,wao ndio walio tufuata Africa,sisi hatukwenda kuwaomba msaada.
Kuna mambo tunakubaliana. Mstari wa mwisho nakubaliana nawe. Huwa nakubali ni wao ndio wameharibu msingi wetu wa maisha kijamii kwa ujumla.
 
Nina bro wangu elimu yake darasa la saba ila ana ufahamu wa mambo mengi ya hii dunia, kiasi akikaa na PhD holder the later atakimbia mijadala. Siri kubwa ya ufahamu wake ni Vitabu na Biblia. Bro ana vitabu ambavyo huwezi vipata kirahisi maktaba na bookshops tena vyenye siri za kiwango cha juu. Nikikaa nae huwa napata madini ambayo shule sikupata kabisa.

Mwanzo sikumuelewa ila muda huu namuona kama ana nguvu kubwa ya Mungu ndani yake. Zaidi ya miaka 10 anaongea juu ya mwelekeo wa Ulimwengu na habari kama hizi za NWO. Kwa mara ya kwanza aliniambia kuna chanjo ya ulimwengu inakuja na haitokuwa salama, ilikuwa mwaka 2012.

So mkuu nikupe moyo, usikatishwe tamaa na hawa wasomi uchwara wanaopinga mambo nyeti kama haya. Ipo siku wataelewa na wanaweza kuwa on time au wakawa wamechelewa. Kwa maana hizi ni habari za kweli kabisa. Na hatuko salama at this point of time, Mwenyezi Mungu tu ndio tumaini pekee.

Napenda sana kujifunza na kudig-deep. Tunaokuelewa tupo na tunapata madini. Mungu akubariki Mkuu.
 
Asante sana kwa kunitia moyo mkuu.
 
"We will control all aspects of their lives and tell them what to think and how".Hivi mwanadamu anafanya kazi kama mashine au hapa umeelewa vipi wewe?Yani unasema kuna mtu anaweza control namna ambavyo utafikiri kichwani mwako na iwe vipi?Hivi hizi movie unazipata wapi na mimi niwe natizama kuburudisha kichwa.

"We will always hide the divine truth from them, that we are all one.
This they must never know". Hide divine truth!? like how?? kitu nachojua, kitu divine essence yake ni heaven na Mungu pekee ndio anaweza reveal au kuficha hiki kinachoitwa divine truth.

Mwisho kabisa,hii document yako uliyotoa kama reference hujaona kama ina mapungufu kibao,hakuna signature yoyote,authorship yake bado nayo wenge(the author is unknown person),title yake wenge(document haiko titled na kitu kama new world order kama unavyodai),the document is not sealed.Kwahiyo wewe kazi yako ni kuokota tu habari na kuzileta hapa bila kufanya chochote.

Trust me,hii forum ingekuwa yangu ningesha kupiga ban mapema lakini kwa sababu si yangu and I do respect freedom of expression basi uko huru kuparade upupu wako kadri unavyoweza.
Kuna mambo Mengi ya kweli ndani ya hii document mojawapo ikiwa Dini. Dini ni mojawapo ya njia ya kupumbaza na kuwagawanya watu katika vikundi...divide and rule 😁

Mungu ni kisingizio kinachotumika na watu kadhaa wenye Nia mbovu ya kuwatawala binadamu...Kwa mfano, mbona Mungu asijidhihirishe wazi wazi Kwa Kila mtu akitumia mbinu rahisi inayoeleweka na Kila mtu? Ni vigumu nchi ya ulaya kuwa ya Waislamu, Nchi za uarabuni kuwa wakristo ila Hapa AFRIKA utawapata hata kabila Moja limegawanyika Waislamu na Wakristo. Je document hio hapo juu itakuwa imedanganya?

Tuko na macho Wala hatuoni, tuko na masikio Wala hatusikii, tuko na Akili lakini hatutumii.

Ni lini Mwafrika atatengeneza gari yeye mwenyewe bila kumtegemea mzungu au mjapani?
Ni lini Mwafrika atafika kwenye mwezi au sayari zingine?
Ni lini Mwafrika atatengeneza dawa zake mwenyewe bila kumtegemea Muhindi?
Ni lini Mwafrika ataacha kuwa masikini wa Akili na Mali?
Ni lini Mwafrika atatupilia mbali dini za wazungu na waarabu?
Ni lini Mwafrika atajipa heshima ili aweze kuheshimiwa na wengine?

Viongozi wa Dini na siasa wamewekwa pale kuwadanganya kuwa man uhuru na haki but the truth is that YOU Don't Have no freedom nor rights...Nchi/ Dunia Ina wenyewe, unfortunately Mimi, wewe, viongozi wa kisiasa na dini sote ni watumwa wa wenye Dunia 😁
 
Inasikitisha kuona watoto wanaenda shule na kaptula zilizotoboka makalioni na mashati meupe yaligeuka kuwa ya hudhurungi na bado wanaishia kuwa wamachinga na bodaboda. Lazima tudhibiti generational poverty kwa kuzingatia uzazi wa mpango, sio kufyatua tu kisa elimu bure.
Sawa lakini hamna mamlaka ya kuua watu...
 
Wewe ukiitazama dunia inaanguka au inazidi kusonga mbele kimaendeleo? Unafahamu hata watu kuzaliana na kujazana kwenye kila ya dunia kama kumbikumbi ni matokeo ya maendeleo ya sekta ya afya yaliochangiwa pakubwa na hao unaowaita mabeberu, freemasons, illuminati na ujinga mwingine?!
Bila hao mabeberu na machanjo yao uchwara, zamani watu walikuwa hawazaliani?

Mnajifanya kuongeza life span, kumbe in actual sense mnawaua watu
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom