Babafetty
Senior Member
- Nov 11, 2013
- 107
- 108
Hellow,
Mambo vp,
Leo nimeamua kuwaambia wanaume wenzangu ukwel, hivi kuishiwa nguvu za kiume imekua fashion au ndo swaga, unakutana na katoto ka miaka 22 nako kanasema kana matatizo ya nguvu za kiume,
Watoto wadogo, watu wazima, wembamba, wanene na wanaofanya mazoezi weng wao wanalalamika hawana nguvu za kiume,
Wakiingia na mrembo chumbani wanamlamba lamba, matokeo yake wanaishia kuwapaka mate afu kidume hicho kinaondoka kimepiga bao moja, pumbavu...
Tatzo la msingi la nguvu za kiume ni porno. Hizi android phone {smart phone} zimewapa vijana acces ya kuangalia porno mbalimbali, mpk za mashoga, ss wanaishia kupiga punyeto kwa muda mrf,
Wengne wanamiaka 19 wanatumia dawa za nguvu za kiume, na wakat walikua hawana tatzo, ili amkomoe mwanamke, matokeo yake akifika miaka 28 misuli ya uume imechoshwa na dawa za nguvu za kiume,
Vyakula, vijana tunakula chips yai, na amalizi, anashindia soda, mazoez hafanyi unategemea nguvu atatoa wap za kupiga japo bao 3 kwa uchache,
Vijana hawafanyi mazoezi, kina wa miaka 20 hata kukimbia kilometer moja hawezi kwa mwez mzima, ss unategemea misuli itatanuka saa ngap ili iweze ku pump damu vzur, na kufanya mafuta yaliyojaa kwenye misuli itoke, mwisho anaishia kulalamika akipiga kamoja jogoo asimami tena,
Wengine, wanadhan kuwa na utitiri wa wanawake ndio ujanja, kumbe wanachosha misuli kwa kuwa sex machine pasina sabab, matokeo yake akifika 29 yrs lazima mgongo, kiuno na ubongo uwe ushachoka tendo na anajikuta akifanya kimoja mwili hauna nguvu matokeo yake unapanic,
Mavazi, unakutana na mtu kavaa suruali imebana mapaja km ngozi, ss ndugu hiyo ni miongoni ya sehem ya nguvu za kiume zinapohifadhiwa, unafanya misuli na homoni za kuzalisha mbegu ziathirike, matokeo yake huwezi hata kupiga bao 3,
Ulevi, sigata na vilevi vilivyopitiliza,
Unakutana na mtu anajisifia kunywa pombe kali, mirungi, ss ndugu unategemea nn, mwili unachoka mapema, unakufa ganzi kuanzia kichwa mpaka uume,
Dawa za kiume ni biashara, kumeibuka kundi la wataalamu wa nguvu za kiume, kila ukipita kuna tangazo la dawa za nguvu za kiume, 99% ni waongo, wanawalisha wenzao sumu, matokeo yake wanaua homon, wanavuruga misuli na kuumiza ubongo,
wengne hata ku sex hawajui, ila wanalalamika kuwa wanatatzo la nguvu..
Ss mi nashauri,
Vijana wenzangu, wanaume wenzang, tujitathimi umekosea wap, nn tatzo, tatzo la mwenzako sio lako, sio kila dawa ya mwenzako na ww itakuponya,
Ss tuache ukichaa wa kulalamika kuwa hatuna nguvu kumbe tatzo ww ndo umesababisha mwenyewe..
Tafuta mtaalamu wa kwel utalishwa majivu ya mkaa afu uambiwe dawa kumbe chaka....