Haujachelewa kutimiza ndoto zako za kimaisha na kisiasa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,385
3,894
Yaweza kuwa kuna watu wamekata tamaa na maisha ya kisiasa kwa sababu ya umri mkubwa au wengine wanashindwa kuthubutu kwa sababu ya umri mdogo.

Kijana fuata moyo wako nenda katimize ndoto zako.

Trump aliingia White House ana 70yrs, Obama akatoka na 55yrs, Sanders anataka kuingia na 78yrs.
 
Hapo hakuna Dr. wala Prof sisi kila anayetaka Urais lazima eti Dr.
Hichi kitu kina nikera Sana, Nchi ni maskini Sana lakini kila kitu Dr Fulani, Prof fulani.
Kwa mabeberu ni nadra sana kusikia hizi swaga za Dr/ Prof kwenye uongozi. Huwezi kusikia Dr Obama, Dr Clinton, etc
 
Ni kweli kabisa Mkuu.
 
Back
Top Bottom