Hauhitaji kwenda Bagamoyo,Tanga kupata watoto; unahitaji kinywa chako kitamke basi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hauhitaji kwenda Bagamoyo,Tanga kupata watoto; unahitaji kinywa chako kitamke basi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  PENGINE UMEKUWA UKITESEKA SANA SANA KUHUSU UZAO WAKO,..LEO LIPO JIBU TOKA KWA MUNGU\WATU WENGI WAMEKUWA WAKITESEKA NA SHETAN AMEJUA MBINU KUBWA KUISAMBARATISHA NDOA ZA WANAOMPENDA YESU WALIOKOKA
  NI KUWANYIMA UZAO NA HAPO NDIPO BINTI SHUKRAN BINTI ZA WADI BINT AHUEN AWA WOTE MAWIFI WANAKUJA NA OOH ANATUJAZIA CHOO OOOH UMEMPAATA WAPI..WAKATI AKIWA ANAWAPA HELA ZA NAULI AMKUJUA ANATOKEA WAPI..?

  NDUGU YANGU MPENDWA NAJUA UCHUNGU WA KUTOKUWA NA MTOTO PENGINE NIKUJUISHE NILITESEKA NAHILO NIKAAMUA KUTANGAZA VITA NA SHETAN YA GADAFI CHA MTOTO..NIITA KILA ZILIPOFICHWWA SPERMS ZANGU NIITA KILA ZILIPOFICHWA ILE MIKIA YA SPERMS SIKUCHUKUA MIEZI 5 WALE WALIOSEMA SIZAI WALIKUJA KUULETA NEPI WALISEMA SITOPATA MTOTO WALIKUJA HOSPITAL KUULIZIA DK WA KIKE WA KIUME LEO WANAHANGAIKA NA MATUMBO YAO..NILICHOFANYA NIKURUDISHA KIBAO KWA KILA ALIEHUSIKA NA MATATIZO YANGU NA NILIMPA MUNGU WAKATI WITHIN MUDA FULAN SHETAN NATAJI AABIKE

  ISAYA 54:1
  ANASEMA IMBA WEWE ULIE TASA WEWE USIEZAA PAZA SAUTI YAKO KWA KUIMBA NA VIGELELE MAANA

  ""WATOTO WAKE ALIEACHWA NI WENGI KULIKO YULE ALIEOLEWA ASEMA BWANA WA MAJESHI.""
  'PENGINE UMEKUWA NA MATATIZO YA UZAZI SIKU NYINGI LEO NDIO MWISHO KATAA KUTOZAA ANZA KUSHAMBULIA MAJESHI YAALIOFICHA UZAO WAKO KEMEA KWA NGUVU ZAKO ZOTE MFULULIZO USIOGOPE KUNA ATTACK ZAWEZA TOKEA UJUE NGOME IMETIKISWA HUKO KWENYE MAPEPO..PAZA SAUTI UNAITAJAI KUIMBA KUPIGA PRAYER ILI UZAO WAKO URUDI ..KINYWA CHAKAO NDICHO KITAKACHO KUPA KILE UNACHOHITAJI

  naenda meeting nitaweka mistari ya kuonyesha jinsi kinywa kilivyo na nguvu kwenyemaisha yako ya kila siku fight foryour destination msiache shetan aanawatwanga tu kila siku yeye tumia malaika uliopewa kila mtu anamalaika wake mwambie wako akafanye kazi ya kurudisha uzao ndoa fedha zako jamani msikae kimya mpaka malaika anajaa kitambi hata ukimtuma anashindwa kunyanyuka,,

  wasalaam
  Didy
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  mkuu umeokoka???
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Kati ya Poster zako zote
  ulizotoa leo hii ndio ya maana..
  ...AMEN
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Umeenda kupima DNA na huyo mwanao?
   
 5. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kweli kila jambo linawezekana katika hii dunia
   
 6. M

  MPG JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haha,haha,bagamoyo kwa ******.
   
 7. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  amen amen mpendwa,ulipotelea wapi na morning glory jamani?ubarikiwe mpaka ushangae,lovely msg thx
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,256
  Likes Received: 21,956
  Trophy Points: 280
  Tazama mimi Bwana Mungu mwenye nguvu, je kuna neno gumu nisilo liweza?
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  Wewe ulijuaje kuwa ukienda tanga na bagamoyo wanatengeneza watoto?
   
 10. usofu

  usofu Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Yeremia 33:3
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  100% mkuu
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,061
  Likes Received: 5,552
  Trophy Points: 280
  100% mkuu
   
 13. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,970
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  For by grace you have been saved through faith,and that not of yourselves;it is the gift of God,Not of works,lest anyone should boast.
  Ephesians 2:8,9.
  ....And there is no other God besides Me,a just God and a savior;there is none bisides Me.
  Look to Me,and be saved,all you ends of the earth!For I am God,and there is no other,"
  Isaiah 45:21,22.MIA
   
 14. L

  Laura Mkaju Senior Member

  #14
  Jun 14, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa neno zuri lenye kutia matumaini.
   
Loading...