Waziri anasema wakulima wa miwa wa Kilombero na Mtibwa wanatupa wastani wa Tani 200 za miwa ambazo viwanda vinashindwa kununua. Hapa unaelewaje?
mkuu naamini kuna mhuni mmoja ameshaanza kampeni za 2025, na anawavuruga ccm , anawafarakanisha wao kwa waoEinstein kwenye kitabu chake hundred authors against Einstein anasema "if i was wrong one could be enough".
Kama Magufuli angekuwa mbaya kwa kiwango hicho msinge hangaika kila siku ku-prove ubaya wake ungeonekana
wazi bila nguvu kubwa mnayotumia.
Pengine mtu mmoja(lisu) tu angetosha kutaja mabaya ya Magufuli na watanzania wa kamuelewa.
Haina haja ya kurudia kila siku Magufuli alikuwa chizi kama alikuwa chizi mtu mmoja angeeleweka
na watanzania Magufuli alikuwa chizi na sio kampen kama mnavyofanya sasa.
Lakini tuna uhakika na kuwa kesho tutaamka!!hakuna kundi la interahamwe tena!!mmoja ndio huyo ameshachezea miaka 30, na mwingine ndio kwanza ana setiwa ajae kwenye rada!!MUNGU FUNDIHicho kisamvu kwenye amani kinaliwa na BABA YAKO GAIDI huko SEGEREA! Yupo saaafi na amani ya MOYO! na Wafuasi wa gaidi wana amani ya moyo tozo haziwahusu! WAMELALA ndani na joto safi kabisa na MAJI YANAMWAGIKA! Shubaaaamit
kwa kweli kuagiza sukari ni kuexport ajira kwenda kwenye hizo nchi tunakoagiza sukariKila tatizo mnalink na Magu......
pumbav kweli nyinyi
Kabisa mkuu.mkuu naamini kuna mhuni mmoja ameshaanza kampeni za 2025, na anawavuruga ccm , anawafarakanisha wao kwa wao
ukweli ni kuwa huwezi kumtukana hayati magufuli bila kuwa umeitukana na ccm yenyewe kwa sababu yeye ndiye alikuwa mwenyekiti
sasa hawa wanaoleta mada kama hizi naamini wanajua wanachokifanya kabisa , mwisho wa siku hapo 2025 watakuwa wamemchafua sio JPM tu bali hata na chama kizima cha mapinduzi hivyo kujifagilia njia kwenye kampeni
MBona nyie watu wagumu kuelewa Waziri hazuii watu kuagiza sukari Bali anasimamia sheria iliyopo kwamba sukari anayetakiwa kuagiza in mzalishaji.Hapa sasa ndiyo pa kufanyia kazi kupitia SUDECO ambaye ni regulator na TRA mkusanya mapato. Kama kuna udhaifu basi hatua zichukuliwe
Waziri mwenyewe anakiri yakwamba viwanda vingi bado hazijafanyiwa expansion kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa sukari. Na akaenda mbali akasema ni ya Moshi tu ndio imekidhi vigezo.
Kwa report yake anakiri ya kuwa bado viwanda vyetu havina uwezo wa kuzalisha sukari ya kutosha. Hii ni kwa tafsiri rahisi. Halafu anazuia sukari kutoka nje, hii nonsense inaanzia hapa.
Ni kweli kutokana na ukweli kuwa Wafanyabiashara wengi wa Sukari wanakwepa Kodi.Ukiisha linda viwanda vya ndani huwezi kuipata hiyo namba 2 ya kupata sukari kwa bei nafuu.
Huyo mburula anaandika mambo ya kitoto nadhani kwa ajili ya wale wasiojua mambo ya nchi hii.Wakati wa Kikwete kulikuwa na shida ya sukari acha uongo hadi mitaani ilijaa sukari nyeupe ya viwandani
Kama kufeli tunafeli na tunaendelea kufeli chini ya hawa ndugu zangu CCMSukari ya Malawi, Uganda. Zanzibar inauzwa Kwa 1200 Tshs Kwa kilo. Ina maana Kilombero, Mtibwa etc wanakula super profit Kwa kuagiza na kuuza Sukari
Cement Kenya inauzwa Kwa 12000 kwa mfuko...huku Tanzania cement ni shs ngapi kwa mfuko?
Hiyo nyongeza ya juu inaenda kwenye Faida ya wafanyabiashara ? Kama jibu ni ndio serikali inafeli...pia kama Cha juu kinaenda kwenye Kodi, basi ni sawa, tunalipa madeni ya nje...China wasije kuchukua bandari ya Mtwara
Huu ni uwongo. Unless unaongelea Zimbabwe ila Tanzania, HAPANA.weka kumbukumbu zako sahihi, sukari 2011 ilifikia mpaka 8000 kwa kg!!, ukisema hatujawahi kuwa ana uhaba au mfumuko wa bei toka miaka ya 90 ntakushangaa!
Wakati vinaongeza capacity sisi walaji tutapata wapi sukari?..naelewa kwamba viwanda vinatakiwa viongeze capacity.
Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 100 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa KilomberoMBona nyie watu wagumu kuelewa Waziri hazuii watu kuagiza sukari Bali anasimamia sheria iliyopo kwamba sukari anayetakiwa kuagiza in mzalishaji.
Ni sheria ya HOVYO mtu ambaye amepewa leseni ya kuzalisha sukari bado unamuongezea kuagiza sukari ikipungua. Mzalishaji anapata uvivu wa kuzalisha kwa kuwa kuagiza ni rahisi. Mwisho wa siku miwa Tani 100 inabakia haijanunuliwa kutoka kwa wakulima wa Kilombero
Wakati vinaongeza capacity sisi walaji tutapata wapi sukari?
siwezi kubishana ila ndio ilivyokuwa, sijui umri wako ila kama una kumbukumbu sahihi vuta pichaHuu ni uwongo. Unless unaongelea Zimbabwe ila Tanzania, HAPANA.
Umetoa maelezo mengi umeshindwa kutoa mstari mmoja tu wa suggestion ya tufanye nini?Umejitahidi kuzungumzia sukari kwa upana lakini hukugusa tatizo la sukari na kodi.
Mahitaji ya sukari kwa nchi ni kama 450,000 tons mpaka tons 500,000 ukiweka na matumizi ya majirani zetu kama vile Congo na Burundi ambao huingiza sukari nchini mwao kupitia sukari tunayo iingiza ama kuzalisha nchini kwetu.
Katika kodi sukari inayo agizwa ni nyingi kuliko tunayo zalisha lakini kwenye malipo ya kodi ni 17% tuu ya mapato hulipwa na waagizaji wakati 82.75 ya kozi ya sukari hutokana na malipo ya viwanda vya ndani vinavyo zalisha sukari.
Sasa hapa ni mama kutafuta jinsi ambayo waagizaji binafsi walipe kodi.
Viwanda vinapo agiza sukari serikali hukusanya 100% ya kodi yote inavyotakiwa kulipwa kwenye sukari lakini wanapoagiza wafanya biashara binafsi 51% ya kodi hupotea.
Sasa tufanye nini ? Tusaidiane hapo.
Hawa wafuasi wa mwendazake ni waongo sijawahi kuona.Huu ni uwongo. Unless unaongelea Zimbabwe ila Tanzania, HAPANA.
Akupe ushauri wewe?Ndio tusaidiane, kusema ni uzembe wa serikali sio jibu ya hili tatizo. Toa ushauri tufanye nini hapa.
Kwa hiyo unataka kutuambia covid ndio nyota wa mchezo na mkombozi wetu?Leo nimefurahi sana. Mtu kaleta ukweli wote
Jamaa alikuwa mbaya sana. Tushukuru mungu katuondolea. Imagine miaka mitano kaharibu nchi kwa kiasi hiki. Je isingekuwa covid kufika Leo tungekuwa hovyo sana