Hatuwezi fungua Hi5,Youtube,twitter,na sasa facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatuwezi fungua Hi5,Youtube,twitter,na sasa facebook

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chinese boy, Jul 15, 2009.

 1. Chinese boy

  Chinese boy Member

  #1
  Jul 15, 2009
  Joined: Jun 16, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi Chinese boy sometimes nafurahia kuishi kwa hawa jamaa lakini sometimes ni noma.Yaani Hi5 ni zaidi ya mwaka hatuwezi ipata hapa,youtube karibu mwaka...Ilipo banwa Hi5,watu wote wakajikita
  katika facebook lakini zile vurugu za hivi karibuni zimefanya nayo
  ifungiwe.Yaani classmate wangu wa Kitanzania niliokuwa nacheka
  nao katika facebook kwa sasa hata sijui ni lini nitarudia cheka nao.
  Kuna proxy kadhaa zinasaidia but sometimes inakuwa nazo zinashindwa...
  Anyway lakini wanajaribu weka sawa mambo yasiende kombo hapa
  kwao.Jamaa kibao wanalia kwa facebook maana kila mtu ilikuwa inamsaidia
  kwa namna yake.Mfano watu wengine hata birthday za wenzao walikuwa
  automaticali wanawapa hongera katika hii,Contacts za watu muhimu waliokuwa wakiwahitaji walizipata kirahisi katika hii...
  Sijui niende social network ipi inayoweza fanana na facebook...
  Naimisi fesibuuk!!!!!!!!!!
  Chinese boy!!!
   
Loading...