mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,960
- 2,464
Mi nashangaa sana eti mjadala wa sasa ni 'haki sawa kwa wote' eti wakiwa na maana kuwa mwanamme na mwanamke wote wawe sawa kwenye kila nyanja, wana hoja yao eti wanawake wamekandamizwa mda mrefu hinyo wanataka kujikomboa kwa hilo.
kelele zao kubwa eti ni kuuzika mfumo dume! hivi walishawahi kujiuliza ule msemo wa babu zetu wa mafahari wawili hawakai zizi moja ulikuwa unamaanisha nini? haki sawa ni kitu ambacho hakiwezekani, toka enzi mifumo ilikuwa miwili tu yaani au wa wanawake kutawala kama baadhi ya makabila ya tanga au wanaume kuwa juu, mifumo hii miwili kamwe haiwezi kufanya kazi poamoja.
eti wanataka uchaguzi ujao bunge liwe na usawa! yaani tuchague kwa jinsia au kwa ubora wa kiongozi?hata tusemaje kuna tofauti kubwa mno kati ya mwanamke na mwanaume, wanaume ni watu wa kufanya wanawake ni watu wa kufanjiwa, hata wao huthibitisha hili.
siku hizi ndoa zinavurugika eti kisa wanawake wanataka haki, hivi ni nchi gani wanawake na wanaume wana haki sawa? hata hao wanaowapa vijihela NGO kuja kutuvuruga kwa hili kwao hamna kitu usawa, mke wa crinton mwenyewe sababu moja wapo ya kushidwa ilikuwa ni jinsia yake,yaani wazungu wasivyoipenda langi nyeusi kwa mwanamke kuwa raisi wao waliona bora hiyo rangi nyeusi.kama kweli mnaweza ukataeni upendeleo twende bega kwa bega tuone mtafika wapi? maana hata hizi harakati zao wanasaidiwa na wanamme.
Tusikubali kuyumbishwa na wazungu kwa hili tushikirie utamaduni wetu ili tuishi kwa misingi bora