Hatutosahau: Miaka 10 ya mateso,majuto na majanga.

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
Watanzania hatutosahau miaka 10 ya awamu ya nne ya rais JK. Katika awamu yake ndipo tumeshuhudia mateso makubwa kwa watanzania yaliyotokana na ufisadi. EPA, RICHMOND,DOWANS nk. Ni miongoni mwa mirija ambayo imewatesa mno watanzania. Kikwete ameruhusu tuumie. Katika awamu yake tumeshuhudia milipuko ya mabomu ya Gongolamboto na mbagala yaliyosababishwa na uzembe wa JK na watendaji wake. Hakika hii miaka itakumbukwa kwa kila mtanzania wa kizazi hiki. Tuombe iishe haraka tuone viongozi wetu wa CCM watamsimamisha nani? Hima watani zangu MAGWANDA msimamisheni mtu makini tena. Maana tumezidi CCM sasa ahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!
 
umenena mkuu.kwa mfano mtoto anayezaliwa leo mjini akikua atakuja kushangaa umeme kutokana na mgao wa extreme ambao hatujui utaisha lini
 
Back
Top Bottom