Hatutoi Wala kupokea form ya CHADEMA hapa

Ndugu watanzania munaopenda maendeleo na si chama, taafadhali Sana tunaombeni ushauri mikakati na Nini Cha kufanya katika wakati huu.

Mimi nikajana ambaye nimeshawahi kuwa mweyekiti wa kitongoji ambao niliupata kwaza kuteuliwa na zengo kuwa katibu wa mwenyekiti ambaye alingudulika hajui kusoma wala kuandika mda mfupi baada ya uchaguzi 2014.
Niliwaambia Mimi ni chadema lakini, wakesema msaidie tu.

Kweli niliaza kufanya kazi na kusema nilifanya kazi ile kwa uandilifu mkubwa mno pomoja na kutengeza hoja na kufichua uozo wa sarikali ya Kijiji katika vikao.
Ilifika wakati mwenyekiti akafanya kosa ambalo wanazengo wakamtoa na kunisimika rasmi kuwa mwenyekiti.
Ukweli ni kwamba kazi kama hii kwetu haina mshahara, posho au hela yoyote ya vikao ambayo hutolewa. kwa hiyo nikujitolea tu.
Niliaamua kuwa mwenyekiti ili watu watofautishe kabsa chama na mtu mzr, na mtu anayependa maendeleo ya umma.

Uchaguzi ulipokuja CCM walijitahidi mno kunishawishi nichukue form yao nigombee kupitia chama Chao nikagoma.
Wakampata mtu ambaye hakubaliki kabsa katika mtaa huu. Ilibidi wafanye hivyo maana watu wote wazuri walikataa

Najua Jamiiforums Ina watu wengi wakutusaidia kuwapata wahusika katika uchaguzi huu na watawala mbalimbali watumlikie huyu mtendaji wa Kijiji.
Maana
Tumeenda kuchukua form saa nne asubuhi wakati huo tulikuwa watu watatu tukapewa form na mtendaji wa Kijiji akapotea kimoja Hadi saa kumi na dakika 16 na aliporudi akakuta wanachadema wengi ambao walikuja na barua za kuombea form.

Alikuja na kusema Hana mda wa kutoa Wala kupokea form kutoka kwa mtu yoyote maana mda umeisha
Ukweli ni kwamba m mtendaji pamoja na katibu wa ccm kijiji Cha Mwenge wametegeneza mazingira ya kwamba hakuna wangombea wa chama kingine tofauti na CCM

Tupo wengi tunaoteseka na kulia kuhusu utendaji wa mtendaji huyu wa Kijiji.

Makamanda na watanzania wote tusaidieni wana-mwenge ili tundumishe demokrasia

Tuko
Mkoa wa shinyanga
Wilaya shinyanga vijijini
Kata ya mwenge
Kijiji Cha mwenge
si walizila kushiriki wanataka nini tena?
 
Back
Top Bottom