Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Nashauri kwenye madini tutumie mfumo wa kijamaa serikali ianzishe makampuni yake iajiri watanzania madini yachimbwe serikali iyauze tupate faida.
Bila hivyo tutaishia kulia tu
Wawekezaji hawa hawana faida yoyote kwetu zaidi ya kodi tu
Uwekezaji ni kama mtu aliyepanga fremu ya biashara anailipia elfu 30 kwa mwezi lakini biashara aliyofungua pale inamwingizia faida ya mabilioni.
Au kama mtu aliyekodi shamba analipa kodi ya shamba kwa mwaka elfu 50 lakini mahindi anayozalisha pale yanamwingia faida ya milioni 50 ona gape kubwa kwa mfano huo hapo
Ifike mahali nchi iingie ubia hata na wawekezaji wachimbe madini faida ikija wanagawana pasu kwa pasu
Mbona tuliona serikali ikiingia ubia na viwanda kadhaa na faida ikija tunagawana pasu kwa pasu?
kwanini tushindwe kwenye madini
Au ni bora madini makampuni ya uchimbaji mbali na wawekezaji serikali ikaanzisha makampuni yake ya uchimbaji
Mfano nchi za kiarabu zilizofaidika na rasilimali za mafuta mashirika ya mafuta mengi ni ya serikali au serikali imeingia huko
Nchi maskini yoyote ile mkiwaachia wawekezaji kila kitu wafanye kunufaika ni ndoto
Lazima utumie walau mixed economy both capitalisim and socialism bila hivyo kufanikiwa ni ndoto.
Kwa sababu yote haya lengo ni serikali ipate mapato ya kutosha na wananchi wanufaike na rasilimali zao