Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Wanabodi,
Mimi ni mwanaccm kwa muda mrefu.Najivunia kuwa chama cha mapinduzi kwa kuwa ndo chama kilicholeta umoja mshikamano na uhuru wa taifa hili
Ninasikitishwa sana na hizi hujuma dhidi ya chama chetu hazikubaliki.
Kuna watu na magenge wanakiharibu chama chetu kama kina makonda na wenzake.
Nakumbuka mzee mwakyembe alivyotangaza vita dhidi ya madawa ya kulevya alikuwa na nia ya dhati kama ilivyo kwa mheshimiwa Rais Magufuli alivyo na nia njema ya kuleta maendeleo.
Ninazo nukuu chache za hadidu rejea za Kigwangala, Makonda, na Mwigulu wanavyofanya kazi kwa maslahi yao binafsi kwa ajili ya kuwakomoa watu kupitia mgongo wa umma na serikali.
Makonda nimegundua hana nia ya dhati kabisa ya vita ya madawa aliyoanzisha kwa maslahi yake binafsi huku chama kikiathirika.
Sote tunakumbuka alivyowakamata wasanii ambao ndo walileta ushindi wa chama chetu. Ambao sio watumiaji kiukweli ingekua ni kihalali ningemuunga mkono.
Kumbe imegundulika alikuwa anamtaka Wema ndio sababu hii halikubaliki kupoteza wanachama kwa wingi hivi.
Wema kiukweli naamini hatumii na ana wafuasi wengi sana kuliko ilivyo kawaida sasa iweje kumkomoa kisa mapenzi?
Vijana tunaoamini kama kigwangala na makonda wanaharibu sana kwa maslah yao binafsi wanaCCM hili tulikatae.
Tunawanufaisha hawa wanaojiita CHADEMA kwa mambo na mambo kama haya inasikitisha.
Ni hatari sana kuharibu CCM kwa manufaa ya upinzani ambao ni hatari kwa taifa hili.
Nilimuamini Makonda sana na nilikuwa ni muungaji mkono wa vita hii ya madawa lakini baada ya kusikia hiyo audio ya Steve na mama Wema nimeanza kuhisi kuwa huenda CHADEMA wakanufaika na hili sakata na kupitia hyo audio ni dhahiri kwamba makonda umeharibu kila kitu na nimeelewa dhamira yako.
Ni hatari sana kwa hiyo audio kwani TCRA nashangaa kwanini isiwachukulie hatua walovujisha mawasiliano hayo kwani ni mpango wa makusudi ulopangwa wa kuiharibu CCM kwa haya mabaya alofanya Makonda.Makonda ajiuzulu, au ikiwezekana asimamishwe na kupewa onyo kwani anatuharibia sifa sie wanaccm.
Hii audio imesikitisha sana inakichafua chama chetu cha CCM na itawanufaisha wapinzani.
Makonda jiuzulu hatutakubali kamwe kuona CCM inapata majeraha na sifa mbaya kwa vita yako ambayo ni ya kisiasa na kimapenzi na sio kama tunavyodhani.