Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,162
103,602
IMG_4005.jpg

Ameandika haya dakika chache zilizopita katika mtandao wa Facebook.

Maneno ya Zitto:

"Tumekabidhi nchi Kwa washamba na malimbukeni wa madaraka. Mihimili karibu yote ya dola letu inaongozwa na malimbukeni. 'Wajanja' wanalamba miguu ya washamba ili kuishi tu. Werevu wananyamazishwa, wanaitwa si Wazalendo. Wanapangiwa mauaji. Nchi imewashinda. Anguko kubwa la uchumi laja sababu ya maamuzi ya kishamba na kukosa maarifa. Hata hivyo watabaki werevu kadhaa na watarejesha nchi yetu kwenye mstari"

Aisee watu wamekasirika sana. Sijui kinachofata ni nini
 
Zitto kwa tactics za siasa anajitahidi sana, anajua anachokifanya! Chama chake bado kichanga na sasa kwa kauli hizi anaanza kurecruit baadhi ya bavicha ktk bandwagon yake. Anachofanya ni kuandika tu kitu wanapenda sikia wanamfuata wote!!
Werevu kamwe hatunasi huu mtego!
 
Tqtzo zitto mm hua simuelew kwa kweli
Yan rais alivoenda kigoma alinishangaza kwa sifa alizomwagia then kwenye mitandao ndo analalamika
Yy alipata nafasi ya kukutana na raid kwann asingemwambia haya
Zitto ndo alinifanya nikabadili mawazo nikaona kumbe kwenye siasa kuna watu wana akili BT sio tena sasa
Zitto ni opportunistic..hana anachokisimamia
 
Ndio maana Mimi huwa namkubali sana Lissu,hata kama jambo likifanyika zuri yeye anabaki kulipa changamoto tu. Yeye hakopeshi sijui nini.
 
Back
Top Bottom