mafinyofinyo
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 4,398
- 3,252
Mbona CCM wanatumia mbinu zote Ili wabaki Ikulu?! Mtoa mada umekurupuka kajipange upya
Tujiulize kwanza, kwa nini Mwalimu Nyerere alifika mahali akatoa ushauri huo? Ina maana aliona ikulu ya tanzania imegeuka mahali pasipo patakatifu? Kauli hiyo Nyerere aliitoa kwenye miaka ya 90, leo waandishi mnairudia, je kuna mabadiriko yoyote ikulu, yaani utakatifu wa ikulu umeendelea kuheshimiwa au kuvurugwa?.
Hivyo, ningependa kusisitiza ushauri wa Mwalimu Nyerere Ikulu ni mahali patakatifu na hakuna biashara Ikulu bali ni mahali pa kuwatumikia watu.
Chanzo: Raia Mwema
Kwa wanaokimbilia ikulu,ikulu kuna biashara gani,watu hao ni wa kuwaogopa kama gonjwa la Ebola
Tujiulize kwanza, kwa nini Mwalimu Nyerere alifika mahali akatoa ushauri huo? Ina maana aliona ikulu ya tanzania imegeuka mahali pasipo patakatifu? Kauli hiyo Nyerere aliitoa kwenye miaka ya 90, leo waandishi mnairudia, je kuna mabadiriko yoyote ikulu, yaani utakatifu wa ikulu umeendelea kuheshimiwa au kuvurugwa?