Hatutaki chadema wala magamba humu

Watu wengine! badala ya kujadili mambo muhimu ya maendeleo nyie mmebaki kujibizana kama watoto, yaani haileti mvuto kabisa, mtu analeta mada kama kuna uwezekano jenga hoja, au kama haikupendezi kabisa nyamaza usijibu kitu.
 
hapa tulipofika tungepaepuka iwapo mods na invisibles wangekuwa makini_binafs nimekuwa nasisitiza swala la kuepuka ushabik wa din na siasa ndan ya jf kwa kuamin kuwa jukwaa hili limeandaliwa kwa watu makin wenye mambo ya maana kwa jamii kumbe ni mpango maalum kwa ajili ya dini fulan kwa chama fulan_kwa mpango huo mtatukosa Wanaharakat weng tusio na ufahamu wenu_humu ni udini na upambav tu

Kwanini unajitesa sasa?? Ah kumbe "unalazimika"
Endelea kulazimika, ujira wako ukaribu kuja.............
 
Watu wengine! badala ya kujadili mambo muhimu ya maendeleo nyie mmebaki kujibizana kama watoto, yaani haileti mvuto kabisa, mtu analeta mada kama kuna uwezekano jenga hoja, au kama haikupendezi kabisa nyamaza usijibu kitu.

kwahiyo hapa wewe hujajibizana? Umekaa kimya?
 
Kwanini unajitesa sasa?? Ah kumbe "unalazimika"
Endelea kulazimika, ujira wako ukaribu kuja.............
upuuzi wenu huu ndo umetusababishia watu wa maana kuondoka humu na ivo kukosa mambo ya maana_jf inayoikumba ilikuwa jukwaa ambapo mambo yanajadiliwa kwa tafakuri ya juu sana kias kwamba nch unaiona kiganjan_ilikuwa real great thinkers_sasa mmekuja wadini_mashabiki wa vyama_very biased_jukwaa limekuwa lakupeana mialiko ya sendoff na chiken part
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom